Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Hawa jamaa wamedumu mapenzini muda mrefu...
Watakuwa wanaheshimiana sana
Haaa wapi, huyo dada amevumilia sana mpaka sasa mambo yametengemaa. Angekuwa mwanamke mwingine kwavile wana watoto, angepiga hale angesepa. Beckham alikuwa kiwembe anapiga mpaka mabeki tatu, au umesahau scandal zao?
Hebu tukumbushe hizo scandals maana wengine tuko mbali magazeti hayafiki