Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Ni kweli una kibamia?
Ubahili ndio mpango.Bahiriiiiiiiiiiii
MCHEPUKO (typing): mbona umebadilisha namba inaonekana si ya Tanzania hiI namba.
ANDREA: Ndio, ni namba ya Australia, nimekuja kikazi hapa BRISBANE kama baada ya wiki 3 hivi ndo ntarudi bongo.
MCHEPUKO (Audio Recording): jomoniii, hata kuniaga! Basi usisahau zawadi ya iphone na Pafyumu tena mi napendaga ile LADY MILLION. Nasikia huko bei rahisi sana. Mmmwaaa my hendsomu Andrea.
ANDREA: TUMa HeLa
MCHEPUKO (anazuga kwa aibu):aiii wewe. ...basi hata pipi.
ANDREA: nimekuambia tuma hela, huelewiii?
MCHEPUKO: Ndo maana KIBAMIA sijui upoje
ANDREA: (emoji)
****
Zawadi haiombwi nyie watu hamkulelewa kwenu?