Bebi ukirudi safarini"niletee" zawadi

Bebi ukirudi safarini"niletee" zawadi

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,405
Reaction score
11,216
MCHEPUKO (typing): mbona umebadilisha namba inaonekana si ya Tanzania hiI namba.
ANDREA: Ndio, ni namba ya Australia, nimekuja kikazi hapa BRISBANE kama baada ya wiki 3 hivi ndo ntarudi bongo.
MCHEPUKO (Audio Recording): jomoniii, hata kuniaga! Basi usisahau zawadi ya iphone na Pafyumu tena mi napendaga ile LADY MILLION. Nasikia huko bei rahisi sana. Mmmwaaa my hendsomu Andrea.
ANDREA: TUMa HeLa
MCHEPUKO (anazuga kwa aibu):aiii wewe. ...basi hata pipi.
ANDREA: nimekuambia tuma hela, huelewiii?
MCHEPUKO: Ndo maana KIBAMIA sijui upoje
ANDREA: (emoji)
****
Zawadi haiombwi nyie watu hamkulelewa kwenu?
 

Attachments

  • downloadfile-2.jpg
    downloadfile-2.jpg
    42.2 KB · Views: 61
Kwenye Ndege wamezidi sana na chakula cha Kupimiana....!!

Nauli nimelipa Malaki kadhaa...!

Chakula nawekewa cha Buku kadhaa...!!

Nyambaaff...
 
Back
Top Bottom