Beberu na Kabaila

  • 1
    mbuzi dume.



  • 2
    mwanamume mwenye nguvu.



  • 3
    mtu anayetoa harufu mbaya.



  • 4
    taifa linalotawala nchi nyingine kiuchumi au kisiasa.



  • 5
    mtu anayeamini na kutekeleza siasa ya ubeberu
 
kabaila

NOMINOplural makabaila

  • 1
    mtu anayetokana na ukoo maarufu.



  • 2
    tajiri aliye na majumba na ardhi za kupangisha kwa faida yake binafsi au za watu wachache.
 
Kisha tuambiwe hapa hapa maana ya shokoa na nokoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…