beautiful

lubazi

Senior Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
135
Reaction score
30
osaka kansai international airport japan





sidney international airport australia


charles de gaulle air france A 380 prepare to take off

 
Sisi tuna kandege kamoja tena kanatumia piston engine. Hivi mkwerre huwa anajisikiaje anapotembelea nchi za wenzie na kushuhudia madege makubwa na viwanja vya kujimwaga. Kwa kweli kama ni tabia za uswahili, basi rais wa sasa Mhe. Kanali Mstaafu. Dr. Dr. Dr. (Heshima, UDOM & UTURUKI) JAKAYA MRISHO KIWETE. Ushamba upo damuni.
 
air france A380 arriving at montreal international airport canada


air france A380 arriving at charles de gaulle paris

 
Jamaa yetu yeye anatalii tu!!!Ahangaike nini wakati nchi haina ndege?Ni kwamba hajifunzi hata kidogo,anakula good time tu
 
air france A380 at tokyo narita international airport
 
klm boeing 747 at amsterdam schiphol

lufthansa A380 at frankfurt am main

 
Hebu tuonesheni na hiyo JKN International Airport letu bana!.
 
OR Tambo international airport south africa













KIA 2001


heathrow 1999




mahe international airport seychelles 1981




Safiri na Air Tanzania nia nia nia nia niaaaaaaaaaaaa! Nakumbuka ndo kilikuwaga kibwagizo chao cha kipindi cha AIR Tanzania cha RTD cha Idhaa ya biashara, wakuu kama mimi mnakumbukaaaaaaaaa! Mtangazi nadhani alikuwaga kama sio Sara Dumba basi ni Salama Mfamao, masikini enzi zile za Mkulima wa kisasa ndo zimepita.
 
Mambo ya Mwl JK Nyerere hayo, yamebaki kuwa historia tu kwa kizazi cha sasa, lol!
 
MD 11 swissair ikiruka kutoka dar international airport 1998

nafikiri hiyo barabara inayotokea kulia kwenda kushoto ni ya kwenda gongolamboto na hiyo inayotokea kulia kwenda chini ni ya kitunda

 
kaka hizo air tanzania za kitambo sio saizi maana saizi tunako kamoja kanakula chocho za tabora na kigoma
 
rubani kaishusha kwa ustadi mkubwa hakuna aliyejeruhiwa injini zilifeli wakati wa kutua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…