BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
- Thread starter
- #21
Usikiogope kiingereza Mkuu. JF ni shule ya aina yake inaweza kabisa kukusaidia kuongeza ufahamu wako kwenye hii lugha.
Ila mkuu story inaweza kuwa nzuri ukakuta ipo kwa English wengine tukishaona eng tuna skip ila kama nimekosea mkuu nisamehe