Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 728
Ni huruma za kike tuu izo wenye misimamo huwa tunazipiga chini twasonga mbele na maamuzi
fedheha ya serikali ndani na nje ya nchi hataki kuonekana chanzo
anajivua lawama kwa J.K na CCm kwamba hahusiki kwa kujiuzulu kwa waziri/naibu wake
mi c elewi wabunge wetu wanafki ni wengi saaaaaaana
Jamani mbona mm nimemwelewa vingine??? Hawatetei, ila kasema kwa vile serkali nzima inanuka, wasijiuzulu. Hii ina maana ya kusema si hawa tu wajiuzulu, bali serkali nzima!!!
Mhe.Beatrice Matumbo
Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea watuhumiwa wake wasijiuzulu eti kwa kuwa serikali nzima inanuka, anaonekana kujutia kuleta barua ile bungeni. Naye kapokea kamgao?
Huyo shelukindo ni mtu hatari hata kuliko huyo jairo na wenzake.
Taifa hili linahitaji watu wazalendo wakweli si watu wanafiki kama huyu mama anayehongeka au kuogopa malipizi.
Tena ni unafiki wa kijinga. Huyu huyu ndiye alikuwa ameapa kumlipua Lowassa, leo anampakata. Akaanzisha kashfa hiyo ya Jairo na yeye akidhani kwamba ana haki ya kuhodhi skendo alizoanzisha anataka kupitia mlango wa nyuma kunyamazisha watanzania. Mwehu kweli huyu!Mnafiki tu,hana lolote.
mi c elewi wabunge wetu wanafki ni wengi saaaaaaana