Nikiwa mwenyewe hua naweka hii picha ya Harley Quinn, nikiwa sehemu yenye watu naitoa. Maana watu hawachelewi ku gudge mtu kwa wallpaper yako View attachment 1361055
Pole sana, nilitumia S5 miaka ya nyuma ilikuwa ni majanga, kutembea na chaja muda wote.
Tecno nasikia wanasifika kwenye kukaa na chaji, jaribu kuhamia Tecno
Au Samsung tumia kwanzia S7.
S7 siwezi kuimudu mkuu..hii tu imetoka mbali!
Tecno ziko poa sana..nazipenda kuliko hata Samsung
I wish nipate Tecno camon au Spark.
Ila Dolar 200 looh nazipatia wapi
Infinix baba lao ninacho ki hot 5 changu cha mwaka juzi ila mwezi wa 4 inatimiza miaka 2 yani naweka chaji 100% hapo nafanya vurugu zote inakaa siku mbili
Pole sana, nilitumia S5 miaka ya nyuma ilikuwa ni majanga, kutembea na chaja muda wote.
Tecno nasikia wanasifika kwenye kukaa na chaji, jaribu kuhamia Tecno
Au Samsung tumia kwanzia S7.