Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,014
- 15,866
Haszu mm najitoa muhanga kwaajiri ya wana JF nipo tayari kukulombaTee! Umekosa cha kukumiza wewe.
Najua boiMe wengi wana kucha ogii compare na ladies fanya tafiti urudi tena
Vipi, bado unaenda kimboka bar? Bei yetu bado ni ile ile ya buku mbili?
najitolea kumnunulia aje kigamboni chapuToto kama toto, inabidi mliupgrade lipate hata mafuta ya parachichi lianze kung'aa kidogo!
Sijakataa beautiful boy fungua pm au iko wazi wawekezaji waje wakupasulie mayai uzidi kuglow..!! ๐น๐น๐คฃyani we hata makeup imekukataa๐๐. Sura ngumu
Yooooo๐ฉ sautiiii
Umeshamaliza kwanini mtu ajisumbue na uthibitishoUkiambiwa uthibitishe utaweza?
Nikupe namba yangu. Tuongee mara nyingi zaidi ya hapa halafu uje kufuta hii kauli yako kwamba nafeki sauti.We mjinga km mdo sauti yako utakufa kwa pressure, ongea kawaida usi fake deep voice, little gal
Attention zenyewe sasa!Huyu mtoto ana seek attention shenzi sana
Ujumbe kaupata ๐คฃnajitolea kumnunulia aje kigamboni chapu
๐๐๐๐Aisee ๐, ndiyo huu muonekano ambao wanawake wanachanganyikiwa wakikuona? ๐ฎ
๐๐๐๐Acha utani basi. Mimi huwa sisagani Mrembo.