Beach Yenye Mchanga Unaotembea INDIA

Beach Yenye Mchanga Unaotembea INDIA

FM facts

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
45
Reaction score
88
Ufukwe huu wa Bahari wa "Dumas Beach" Wenye Ukubwa wa KM.2 Upo Katika Bahari ya Arab (Arabian Sea) Nchini India KM.21 Kusini Mashatiki mwa Mji wa Surat Magharibi mwa INDIA.

Beach hii Imekua Maarufu sana Duniani Kutokana na Vitendo Visivyo vya Kawaida Vinavyoelezwa Kufanyika katika Beach hiyo Mida ya Usiku Kama Vile Mchanga wake Kuhama Ikifika Jioni n.k.

Wanasema Pia Nyakati za Usiku kuna Sauti za Ajabu Husikika, Pia Sauti za Hatua za Watu Kama Wakifanya Shughuli fulani Katika Eneo Hilo na Inaelezwa Kuwa ni Hatari sana Kwenda Katika Beach hii Jioni Baada ya Jua Kuzama.

Wenyeji Wanadai Kwamba Inawezekana Hayo yote Yanatokea Kutokana na Eneo la Beach hiyo Kuwa Ilikua Sehemu ya Kuzika Katika Miaka ya Kale.

Written By @fm_facts

Sponsored By buyselltanzania HAWA ni Wauzaji wa Vifaa mbalimbali Makini kabisa Vya Majumbani/Kazini Kama BLENDER, SUFURIA, MASHINE ZA KUCHOMA CHIPS N.K, Wapigie Sasahivi: #0718520552

#tuvituvitu
#JeWajua
#DumasBeach #INDIA
#Chombokwahewa
#IloveFacts
#FMfacts
fm_facts-20190503-0002.jpeg
 
#FMfactsView attachment 1087042
Shukran Mkuu
 
Mbona Ngorongoro crater hapa Tanzania kuna mchanga unatembea SAA zote acha huo Wa kutembea usiku. Halafu huu Wa Ngorongoro hauna vitisho vya kishirikina ka huo India.
 
Back
Top Bottom