Beach plot for sale

Beach plot for sale

Cetshwayo Kampande

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1,405
Reaction score
3,267
Iko Mtwara sehemu inaitwa Naumbu,,zipo ekari tano,zote jumla milioni 60,,kwa uekazaji, kujenga hotel, apartments n.k
Karibuni,wateja na madalali(real estate agents).kwa mawasiliano zaidi nawakaribisha pm
images%20(2).jpeg
 
Mkubwa Naumbu iko umbali gani toka Mtwara mjini?
 
Picha yako na maelezo yako km vimenitia wasiwasi , huku dar maeneo km hayo ambayo hyo picha inaonesha mengi ya serikari . Tulitegemea utatuonesha izo eka ila sio kesi ww fanya biashara ukiitaji kuagiza au ku clear gari bandarini nicheki
Sawa kiongozi ,tutachekiana
 
Mbona unawauzia watu eneo la serikali? Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa aliwahi kuuziwa beach kama hivyo mwezi mmoja anarudi na gari la tofali anakuta bahari imerudi eneo lake, Ni kichaa mmoja maarufu leo hii kule Kigamboni.
 
Sio za serikali,apo ni picha tu hiyo Ila eneo linapoanzia sio hapo,Kuna mitaa kazaa katoka baharini ,ukishapima za serikali
 
Mbona unawauzia watu eneo la serikali? Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa aliwahi kuuziwa beach kama hivyo mwezi mmoja anarudi na gari la tofali anakuta bahari imerudi eneo lake, Ni kichaa mmoja maarufu leo hii kule Kigamboni.
Zama hizi kweli Kuna mtu atanunua eneo bila kujua eneo la serikali mita ngapi?hati ipo mkuu,Kila kitu kinaonekana
 
Mimekupenda uliyeweka Tangazo. Huna dharau. Unashaurika. Majibu yako ni ya heshima. Hii ni reflection ya malezi yako kutoka kwa wazazi na walezi wako. Big up kwa wazazi wako. Big up kwako.
All the best biashara iende mkono upate kwenda kinywani.
 
Back
Top Bottom