Hehehehe! Kamanda umesema jukwaa gani likifutwa utaandamani?
Lol umenikumbusha kitu ambacho nina hakika umekisahau.
Happy Valentine all,
Poleni na mzunguko wa maisha wa miaka nenda miaka rudi.
Naomba kuwasilisha swala lifuatalo.......Huu sio utani ni swala muhimu sana.
Kuna kijana ni tapeli wa mapenzi/muongo sana yuko hapa JF na huwa ana ID nyingi sana. Huyu kaka amekuwa akitumia kigezo cha kufiwa na mchumba wake kama kigezo cha kupata huruma ya wadada na hivyo kuwarubuni kimapenzi. Sio kweli kwamba amefiwa na mchumba, ukweli ni kwamba ameoa na ana familia yake (mke tena mzuri tu na watoto wawili). Ni mtu ambae basi tu anapenda tabia ya udanganyifu online kwa warembo mbalimbali hadi kufikia hatua ya kuwa kwenye mahusiano. Ni mkazi wa mikoa ya kaskazini.
Yakikufika ya kukufika usije sema hukuambiwa, kuweni makini sana na hawa the so called online lovers, friends n.k. Wengi wao sio, wengi wao ni waongo tu wanaojaribu kucheza na psychology za watu.
Asanteni.
Umeshatendwa nini?

Asanteni.[/QUOTE
UKIONA MANYOYA UJUE KASHALIWA ,POLE SANA DADA

Pole ya nini tena?? siwezi kukulazimisha uamini kile nisemacho so kama unaona kwamba may be alinitenda poa. Ukweli naujua mimi, namna gani nilimjua kwamba yuko hivyo ni Mungu tu. So ombea dada zako wanaopita humu wasijeingizwa town
dena nimekumiss ujue!!