Be a real Man

Be a real Man

Nna matukio nkiweka hapa unajiuliza Kama sikuona wengine aua vipi ..... Imani yangu na 2ND chances kwa wanawake zingenitoa roho kishamba šŸ˜›
Pole! I get that...but if we are being honest, wewe huwa unawatendea wenzio haki??

Maana watu huwa wanalalamika kutendwa wakati na wenyewe wamewahi kufanyia wengine makubwa/mabaya zaidi.
 
Nafahamu kila mtu ni mbaya katika historia ya mtu fulani ila kwa mavuno niliyavuna toka kwao acha muhasišŸ˜‚
Labda ndo unamalizia malizia kulipia dhambi zako. Kuwa mvumilivu!šŸ˜„
 
Ukishafanya mambo yako yote kinachobaki mpe mwanamke.
 
Dah Leo ndo nimegundua kiingereza kimenitupa mkono

Naungana na comments Za wadau

ā€œKweli wanawake ni wabaya usiwasikilizeā€
Hukumsikilizaga vizuri Mwalimu Nyamweru au ulikua una dodge?
 
Back
Top Bottom