P peace11 Member Joined Aug 28, 2019 Posts 5 Reaction score 0 Aug 28, 2019 #1 Wadau eti nani anajua vizuri hii course na je ina ajira? Na ina tofauti gani na bcom in finance kwa pale udsm?
Wadau eti nani anajua vizuri hii course na je ina ajira? Na ina tofauti gani na bcom in finance kwa pale udsm?
Kibua JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 660 Reaction score 1,851 Aug 28, 2019 #2 For my advice go for B.com finance ipo broad zaidi kuliko hio nyingine ambayo ipo too specific kwny banking only.! Kuhusu ajira usiwaze sana kwa sasa wee soma kwa bidii then after mambo mengine Mungu atajalia huko mbele
For my advice go for B.com finance ipo broad zaidi kuliko hio nyingine ambayo ipo too specific kwny banking only.! Kuhusu ajira usiwaze sana kwa sasa wee soma kwa bidii then after mambo mengine Mungu atajalia huko mbele
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,163 Reaction score 184,884 Aug 28, 2019 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,078 Aug 28, 2019 #4 Kasome kwanza then uje tutafuta tukupatie connection ..mambo ku guarantee ajira mkuu sio zama hizi