Bbm?

Bbm?

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Habari wakuu ,kiujumla cjawah ku2mia kabsa blackberrymobile ila nina idea kdogo na huduma yao ya BBM.Hv juzi nimekuwa nikiona taarfa mbalimbali kuhusu uwezekano wa kuhamishwa kwa huduma hyo kwa android phon pia ,je napenda kujuzwa (1)m2 atafanyaje ili kupata hduma hyo akwa na android phone(2)kwakuwa gharama za cm tajwablackberry huwa ni za juu kdogo kwenye net tofaut na cm zngne je kwenye android itakuwaje?(3) faida zake ni zipi ?(4)m2 akiwa na huduma hyo kwa android yake ndo kusema atafaid hduma ya BBM sawa kabisa na m2 mwenye blackberry mobile?Nahtaji msaada wenu
 
Ndio mkuu, lakini BBM itakua kwa wanaotumia Ice cream sandwich na Jelly Bean pekee. Kuhusu malipo nafikiri itakua kama tu unavotumia whatsapp na bundle za kawaida.
 
Back
Top Bottom