MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
- Thread starter
-
- #21
Hukupaswa kufurahia makosa, kila mtu anakosea kiufundi ama kiutendaji
Tatizo lao wamekusanya wajiitao waandishi kutoka Tanzania. Hawajiandai na hawasomi. Ni vyema waandishi wa Tanzania baada ya hivyo vidigrii na vidiploma vyao, waendelee kujisomea, wapende kusoma na sikudai "wamesoma". Mwandishi mzuri ni yule "anayesoma" siyo "aliyesoma!"
Ni kwel kabisa unachosema mkuu...... Zimepita kama wiki mbili kwenye dira ya jion wakawa wanatangaza Habari za michezo....... Kilichonishangaza walikuwa wanatoa habar za mwaka jana za uefa champions League huku wanatoa na matokeo yake na kueleza mechi zitakazochezwa kesho yake wakitaja mechi za robo fainali. Hawakundua Hilo mpaka kipindi kinaisha..... Ila nilichokuja kugundua ni kwamba jamaa siku hiz hawako serious kabisa.
Sasa kinachofurahisha nini hapo?? Hutakiwi kufurahi kwa yeyote anayekosea hata watangazaji wetu wa ndani hawapaswi kukoseakosea.
Tatizo lao wamekusanya wajiitao waandishi kutoka Tanzania. Hawajiandai na hawasomi. Ni vyema waandishi wa Tanzania baada ya hivyo vidigrii na vidiploma vyao, waendelee kujisomea, wapende kusoma na sikudai "wamesoma". Mwandishi mzuri ni yule "anayesoma" siyo "aliyesoma!"
atakua hakuelewa mkuu,hata ivyo bbc world ni zaidi ya aljazeera. Bbc world katika habari wamejipanga sana aisee
Nimefurahi kusikia BBC wakiripoti uongo!
Kwa kawaida ukisikiliza radio za Tanzania hukosi kupata vituko kwa watangazaji kuvurunda kwa umbumbumbu au hata kutangaza mambo yasiyo halisi.
Leo asubuhi BBC katika matangazo yao ya Amka na BBC walitangaza kuwa mabaki yameonekana ya ndege inayodhaniwa ni ya Malaysia iliyopotea miezi sita iliyopita. Nilisubiri wasahihishe na kuomba radhi lakini walirudia kutamka hivyo hivyo mara tatu; na hadi kipindi cha amka na BBC kinamalizika hawakurekebisha.
Ukweli ni kuwa ndege hiyo ilipotea tangu mwaka jana mwezi Machi na siyo miezi 6 iliyopita.
Naona tatizo ni kizazi hiki vijana hawako makini na yanayotokea duniani.
Unatabia za "mswahili"
Yaani mimi nilidhani wamekosea kwamba Magufuli atakuwa raisi..!!! kama ni hilo acha tu
Wako sahihi ila nyie inaoneka hamfahamu kiswahili wamesema inayodhaniwa inamaana hawana uwakika inaweza kuwa ndio au sio yani ni kitu cha kusadikika jifunzeni lugha nyie msikurupuke
Mkuu hujamuelewa kabisaTujikomboe finance alichomaanisha!ahaa.....ina maana ilipokuwa ya Kihinid na kiarabu ilikuwaje..?
BBC ni wazushi sana ,Hata watu wanaowaalika kutoa commets kwenye habari zao -wanakuwa BIAS sana. Tukio la EL kuondoka CCM walimwalika kada wa CCM DR. B. Banna -Unatarajia atazungumza nini! kama si ilani ya CCM.Nimefurahi kusikia BBC wakiripoti uongo!