Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,442
- 38,124
Hili nalo neno.
MUKAMASIMBA rais anapaswa kuunda taasisi zilizo imara ndani ya demokrasia na sio yeye kuwa na mkono wa chuma. Aina ya marais mkono wa chuma hung'ang'ania madarakani muda mrefu kwani wanajua madudu wanayofanya. Wakimaliza utawala wao, mara nchi hurudi tena matatizoni.