BBC rejects invitation to Rwanda Commission

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
60,173
81,719
prosecutor.jpg
Martin Ngoga chairs the Rwandan commission instituted to investigate accusations against the British Broadcasting Corporation for genocide denial for airing the documentary Rwanda - The Untold Story on October 1.

The British Broadcasting Corporation (BBC) has declined an invitation by a Rwandan commission of inquiry to talk about its recently aired documentary, Rwanda's Untold Story.

BBC director-general Tony Hall was on Friday supposed to appear before the commission which was set up by the government to investigate accusations against the institution he heads.

"BBC told us that they have started their own internal inquiry investigating the same, and thus would not appeal before any commission" said Martin Ngoga, who chairs the commission.

The documentary sparked public outrage in Rwanda and led to the banning of BBC Kinyarwanda service broadcast.

"It would have been better if they had worked with us, and their presence would generate a significant input because there are some questions we believe only they can answer," Mr Ngoga said.

Credibility

The committee, however, will not let the BBC's absence stop it from continuing with its work and reaching a conclusion.

"Their inquiry is not bad, but it will not benefit Rwandans and will not answer questions raised by the Rwandan public" Mr Ngoga said, adding that the move by BBC to launch an internal investigation is acknowledgement that indeed there is something wrong with the documentary.

The commission's credibility has again come under scrutiny after it turned down an offer by Professor Filip Reyntjens, a Belgian scholar, who was interviewed in the controversial documentary, to testify.

The university lecturer told KPFA, an American broadcaster, that he offered to testify in the committee but his offer was rejected.

Rwanda's Untold Story, that was broadcast on BBC2, a channel not viewed in Rwanda, on October 1, investigated claims that incumbent president Paul Kagame was involved in downing a plane carrying president Habyarimana - an event which sparked off the 1994 genocide that cost the lives of one million Tutsis and moderate Hutus.

Source:http://www.theeastafrican.co.ke/new...58/-/view/printVersion/-/tlat8az/-/index.html
 
Geza Ulole

It is becoming ridiculous, it is wastage of tax payers money. The inquiry will not bring any results, would think that the outcome will be embarrassment.
 
Last edited by a moderator:
BBC wakati inaandaa documentary, iliwaalika viongozi wa serikali ya Rwanda kushiriki, especially wale waliotajwa humo, including PAUL KAGAME. Viongozi hao WOTE WALIKATAA! Leo hii serikali hiyo hiyo eti inawaita BBC wajitetee kuhusu documentary ile ile waliyokataaa kushiriki? Hii ndio definition ya wendawazimu!
 
yani wewe jmali unatatizo la ubongo hayo yakua waliwataka viongozi wa rwanda kuchangia hiyo story wakakataa mnaproof yoyote?au ni maneno tu,sasa angalia vizuri jinsi bbc walivyo kataa mchana kweupe tuone kama watakanusha,report itatolewa na hao bbc sijui kama watakanusha chochote hapo,wanyarwanda naweza sema ndio new generation ya waafrika tunao wahitaji,hao bbc kukataa kuja ni kile kiburi cha uzungu tu hawanalolote wanajua mbele ya comitee hawana lolote la kusema,this is type of african people we need,who do not fear whites.
 
Embu ondoka uko.... eti aina mapya ya waAfrika.. as if Rwanda is doing wonders.
 
Wonders huwezi ziona mtu kama wewe uliyejaa chuki na wivu dhidi ya wanyarwanda na hiki ndicho kinawasumbua..

Mkulu nitaichukia au kuionea wivu rwanda kwa lipi..... nchi ambayo wananchi ambao sasa wana miaka 20 hawajawahi kupiga kura hata kuona rais mwingine madarkani..... nchi ambayo upinza ni mwiko..... nchi ambayo mtu mmoja kagame ndiye think tank ya nchi yeye ndiye la profeseri licha ya elimu yake ya kimagumashi.
Mkulu mimi kwa moyo wangu mweupe kabisa kwa Afrika nchi ambayo naimezea mate usiku na mchana ni Botswana tu. Ambayo katika rank zote za kimataifa iko juu.... ukitoka utawala bora... rushwa.... demokrasia.... elimu..... ukimya (huwezi sikia hata siku moja Botswana ikijisifia kuwa mimi nimefanya hiki au kile... wanaacha matendo yao yapaze sauti...)
 
... Mkulu mimi kwa moyo wangu mweupe kabisa kwa Afrika nchi ambayo naimezea mate usiku na mchana ni Botswana tu. Ambayo katika rank zote za kimataifa iko juu.... ukitoka utawala bora... rushwa.... demokrasia.... elimu..... ukimya (huwezi sikia hata siku moja Botswana ikijisifia kuwa mimi nimefanya hiki au kile... wanaacha matendo yao yapaze sauti...)

Mkuu eliakeem, nakuunga mkono kuhusu Botswana. Jamaa wala hawana majigambo na wanafanya vyema sana kiuchumi na kisiasa pia. Kijamii wana tatizo kubwa la VVU/Ukimwi. Kiwango cha uathirika ni zaidi ya 20%!!
 
Kweli mkulu... ukimwi unawasumbua... lkn kama unavyojua VVU/ukimwi si jaNGA KAMA kuna miundombinu madhubuti ya afya...
 
subiri tu...iko siku utaingia kundini because i know deep down inside you wish you had a president like ours.

Hatutaki kiongozi ambaye hana maono.... maana viongozi wote wa aina yake walileta majanga akatika nchi zao.... mfano Mobutu, Moh'd Siad Bare, Moamar Gadafi, Sadam Hussein na wengine wengi ambao unawajua wewe.....
 
Kweli mkulu... ukimwi unawasumbua... lkn kama unavyojua VVU/ukimwi si jaNGA KAMA kuna miundombinu madhubuti ya afya...
Hata huo ukimwi ni dalili za tatizo katika kuelimisha wananchi kuhusu ukimwi..lakini bakuona kichekesho wakati unalinganisha botswana na rwanda..back ground zao ni tofauti sana..rwanda ya sasa ina umri wa mika ishirini kumbuka 1994 ilikua imesambaratika katika sector zote hiyo botswana haijawahi kukumbana na msukosuko wowote..hata mahali walipo sasa hawakustahili kua hapo nafikiri kama botswana ingekua chini ya pk nafikiri hivi ingekua nchi ya kwanza ya afrika kiuchumi.
 
MUKAMASIMBA rais anapaswa kuunda taasisi zilizo imara ndani ya demokrasia na sio yeye kuwa na mkono wa chuma. Aina ya marais mkono wa chuma hung'ang'ania madarakani muda mrefu kwani wanajua madudu wanayofanya. Wakimaliza utawala wao, mara nchi hurudi tena matatizoni.
 
Last edited by a moderator:
BBC MLIOKWISHA ihukumu munataka ije ijitetee?, kwanini hamkuihoji BBc kabla ya kuihukumu???, unataka mfungwa aje ajitetee?, ok, ok, ok, nadhani punde mtamwita na Karegeya (RIP) aje ajitetee..
yani wewe jmali unatatizo la ubongo hayo yakua waliwataka viongozi wa rwanda kuchangia hiyo story wakakataa mnaproof yoyote?au ni maneno tu,sasa angalia vizuri jinsi bbc walivyo kataa mchana kweupe tuone kama watakanusha,report itatolewa na hao bbc sijui kama watakanusha chochote hapo,wanyarwanda naweza sema ndio new generation ya waafrika tunao wahitaji,hao bbc kukataa kuja ni kile kiburi cha uzungu tu hawanalolote wanajua mbele ya comitee hawana lolote la kusema,this is type of african people we need,who do not fear whites.
 
MUKAMASIMBA rais anapaswa kuunda taasisi zilizo imara ndani ya demokrasia na sio yeye kuwa na mkono wa chuma. Aina ya marais mkono wa chuma hung'ang'ania madarakani muda mrefu kwani wanajua madudu wanayofanya. Wakimaliza utawala wao, mara nchi hurudi tena matatizoni.
Ahaha bbc bado hajahukumiwa yeye ni mshitakiwa ngoja hiyo report itolewe hapo ndio tutajua ya hukumu.
 
Last edited by a moderator:
Hata huo ukimwi ni dalili za tatizo katika kuelimisha wananchi kuhusu ukimwi..lakini bakuona kichekesho wakati unalinganisha botswana na rwanda..back ground zao ni tofauti sana..rwanda ya sasa ina umri wa mika ishirini kumbuka 1994 ilikua imesambaratika katika sector zote hiyo botswana haijawahi kukumbana na msukosuko wowote..hata mahali walipo sasa hawakustahili kua hapo nafikiri kama botswana ingekua chini ya pk nafikiri hivi ingekua nchi ya kwanza ya afrika kiuchumi.

Kwa hiyo kusambaratika kwa sekta zote mwaka 1994 kwani hiyo si dalili za tatizo katika kuelimisha wananchi kuhusu vita na ukabila..
 
Back
Top Bottom