BBC na mizengo pinda

CPA

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
809
Reaction score
354
BBC imetoa habari kwamba waziri mkuu wa Tanzania ahusishwa tuhuma za rushwa. Ni kweli Pinda kosa lake ni rushwa au kutosimamia vizuri malipo ya escrow?

Hapa BBC wamechemka.

Neno corruption lina maana kubwa hata kutotenda ni corruptions:
 
nahisi wewe ndo umeshindwa kuelewa maana ya neno "kuhusishwa"
 
Hii ndio ccm,Pinda ndani yake,huwezi kuona watu wakigawana mali za nchi umetizama tu.Tuna Takukuru,Tiss na idara zingine zote hazina meno.Na yote hayo ni kukosa ethics za utumishi.Kama chama cha mapinduzi kimekataa kuipitisha katiba yenye maadili ya uobgozi iliyomo ibara ya 16,20,na 126 unatarajia nini?
 
Neno "fraudulent" limetumika kunasibu "njia haramu"
 
BBC imetoa habari kwamba waziri mkuu wa Tanzania ahusishwa tuhuma za rushwa. Ni kweli Pinda kosa lake ni rushwa au kutosimamia vizuri malipo ya escrow?

Hapa BBC wamechemka.

hivi hapa umesoma ama hukuelewa...??
''Mizengo Pinda failed to properly oversee government finances, a parliamentary watchdog committee said.''
 
Neno corruption lina maana kubwa hata kutotenda ni corruptions:

political corruption is the use of powers by government officials for illigitimate gain. So Pinda his corrupt bbc hawajakosea chochote
 
Wamesema kweli tupu amekula rushwa. Pinda Na ndio wanamuandaa kuwa rais nchi hii mapumbavu ndio yanawapigia kura majizi.
 
Mi sijaona walipochemka au ni macho yangu yananidanganya?
 
BBC imetoa habari kwamba waziri mkuu wa Tanzania ahusishwa tuhuma za rushwa. Ni kweli Pinda kosa lake ni rushwa au kutosimamia vizuri malipo ya escrow?

Hapa BBC wamechemka.

Acha Ujinga...hii statement ina-justify ukweli wa Taarifa ya BBC..funguka akili na usiwe kilaza.
"Mizengo Pinda failed to properly oversee government finances, a parliamentary watchdog committee said."
 
Mizengo pinda is accused of failling to oversee properly government finances. Hakuna sehemu ilosema pinda anatuhumiwa kwa rushwa lazima ieleweke ivo. Na kama inatakiwa kuwajibika kwa kushindwa kuwawajibisha viongozi wa serikali walohusika na akati anajua jinsi hela zilivokuwa zikigawiwa illegally...
 
Hapa Pinda asipojiuzuru ndo ule mbinyo wa kutokutoa fedha zao utazidi,tena waendelee hivyo hivyo ili wahisani waendelee kugoma kutoa pesa japo si salama sana kwa nchi yetu,hata wananchi nao wataendelea kuwa na hasira na serikali yao hasa hasa wanapobanwa kuhusu kuchangia maabara na vitu vingine kama hivyo.Hakika Tanzania tumerogwa na wananchi tusipobadilika katika hili basi sijui kama kuna mtu atakuja kutufunza kuhusu kuiadabisha serikali hii dhalimu.
 
Acha Ujinga...hii statement ina-justify ukweli wa Taarifa ya BBC..funguka akili na usiwe kilaza.
"Mizengo Pinda failed to properly oversee government finances, a parliamentary watchdog committee said."

Wala kulikuwa hakuna haja ya kutukana ungeongea kistaarabu kama wengine ungeeleweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…