BBC: Kati ya wagonjwa wa Ebola waliotoroka hospitali Uganda,mmoja alitorokea Tanzania

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,293
3,965
Inasemekana kuna mtu aliyekuwa amelazwa kwa kuwa na dalili za ugonjwa wa Ebola alitoroka kuja Tanzania.Chanzo cha taarifa hizi ni BBC.

Nawaomba wananchi wenzangu mchukue hatua za tahadhari hasa mlio Kagera.

Pia wasafiri kutoka maeneo hayo kwani nadhani huyo mtu atakuwa ameshafika huko.
 
Hao BBC ni wazushi,

Iweje mtu ametoroka na ni mganda waseme amekimbilia Tanzania?

Kwann isiwe Kenya,au sudani,au Rwanda,na kwengineko?

Nadhani kuna kitu kuhusu Tanzania kinaandaliwa .,
 
Na kama wameweza kujua kabisa kama ametorokea Tanzania kwanini washindwe kumkamata?
Mmoja wao alikamatwa na alipohojiwa kuhusu wenzie alisema kuwa mmoja wao aliamua kutorokea Tanzania.
 
Hao BBC ni wazushi,

Iweje mtu ametoroka na ni mganda waseme amekimbilia Tanzania?

Kwann isiwe Kenya,au sudani,au Rwanda,na kwengineko?

Nadhani kuna kitu kuhusu Tanzania kinaandaliwa .,
Unamfahamu kuwa ni mganda?
Je hakuna mtanzania anayeweza kulazwa Uganda kisha akatoroka?
Nadhani kuliko kufanya siasa za kipumbavu ni bora watu waambiwe wachukue tahadhari
 
Hiu EBOLA ya sasa hivi imetokea South Sudan haina madhara makubwa kama ile ya DRC. Ile ya Congo inaua ndani ya masaa 24, hii ya Sudan inakupa hats muda wa kuaga ndugu zako.

Wataalamu wanadai hata chanjo ya Ebola ya Congo na hii ya Sudan ni tofauti.
 
Unamfahamu kuwa ni mganda?
Je hakuna mtanzania anayeweza kulazwa Uganda kisha akatoroka?
Nadhani kuliko kufanya siasa za kipumbavu ni bora watu waambiwe wachukue tahadhari
Huyo ni mganda straight,
sababu wagonjwa wote waliwatangaza Kama ni waganda,
wapo infected na Ebola,
Na wapo kwenye uangalizi maalum.

Iweje leo waseme ametorokea Tanzania.?

Inamaana walikuwa wanamfukuza akavuka mpaka akaingia Tanzania?

mgonjwa ametoweka na hawajuwi alipo,,
Walimuonaje ametorokea Tanzania?

Ninaamini siku si nyingi tutaambiwa Tanzania napo Kuna Ebola.

Kuna habari za kupika taarifa zinakuja.
 
Back
Top Bottom