Kweli Hata huku UNYAMWEZINI TV moja inaonyesha kwa wale huston.
swissme
Hakika E.L amepata coverage kubwa kwa redio na runinga za kimataifa kwa kuweka historia ya kuwa kiongozi wa juu kukihama ccm na kujiunga na upinzani kwa mara ya kwanza.vilevile wamesema kuwa siasa ya Tanzania imekuwa na uenda ukawa ndio mwanzo kwa chama cha ukawa kushika dola.
Mbona Clouds haijaonesha habari haiwezi fika Dunia Nzima sasa
Hahaa,hii inaleta picha ya "ukitembea na mwizi nawe mwizi"Ukawa Muwe Makini, Mawakala Huko Vijijini Muwaangalie Mnavyowaweka,wasije Wakahongwa Pesa, Mwaka Huu Msiposhinda Hamtoshinda Tena.Kama Mwanamke Kaingia Hadi Chumbani Halafu Atoke Hv Hv Bila Kumla,basi Huyo Atakuwa Siyo Mwanaume Bali Atakuwa Obama.