BBC: Askofu Martin Shao wa Zanzibar atishiwa kifo; yadaiwa akimbia Zanzibar

akihojiwa na mtangazaji wa bbc katika Dira ya Dunia salim kikeke amesema ametumiwa meseji na mtu asiyemfahamu kuwa watamteka na kumshikilia mpaka serikali itakapo muachia sheikh farid Hadd source Dira ya Dunia. BBC kiswahili. star tv.

Taja number , jina na picha tutapata maana simu zote ziko registered; isiwe propaganda
 

waislamu wakitaka kuona sasa hasira za wakristu sasa waue kiongozi yoyote wa kikristu awe ni mhashamu Baba Askofu Shao au padre! sasa huyu SAID waliochinja si mwislamu mwenzao??
 
Serikali dhaifu, kuna siku zanzibar na tanzania zitapinduliwa na hao magaidi. Maalim ametest ameona kumbe inawezekana. Tusubiri makubwa zaidi.
 

ungetuwekea na data za mawaziri,naibu waziri,makatibu wakuu,makamishina,wakurugenzi,tujue
 
Title na content mbali mbali. Askofu Agustino Shao na Martin Shao ni watu wawili tofauti. Kuwa makini unapoleta mada usikurupuke. Sasa tuambie alyetishiwa ni Martin Shao au Augustino Shao?
Ni Mhashamu Baba Askofu Augustino Shao. Nilikosea, nikarekebisha baada ya kukumbushwa.Nimeshindwa ku edit Title.Kumradhi Baba Askofu Dr.Martin Shao na wana bodi
 
Asilimia 70% ya wananchi ukipambana nayo siutaumia bora hawa 30% wakijidai kuwaiga hawa tutawapiga risasi au tutawatesa manake CDM yao taasisi ndogo sana.
 
Huu ndio wakati wakristo wote bila kujali madhehebu yetu tuungane kutetea imani yetu kumbukeni tulikubali kuwa askari hodari wa yesu kristo ambaye ni mungu aliye hai
 
SMZ ndiyo Uamsho. Lengo likiwa kufuta ukristo Zanzibar. Kwanini masheikh hawatishiwi?. Kutekwa kwa Kiongozi wao kuna uhusiano gani na Ukristo.
 
Mwanzilishi wa ukristo alikuwa mpole, mtii na mnyenyekevu, hadi kukubali kuuawa msalabani,japo Mungu ALIMFUFUA. baadhi ya dini zilienezwa kwa upanga hivyo hatushangai kwani mbweha hawezi kuzaa paka, au kunguru kuzaa njiwa na nyoka kuzaa mjusi
 
Haya ni matokeo ya serikali dhaifu! Walitugawa kwa propaganda za udini ili wapate ulalali wa kutawala, sasa unawarudi hata wao wanaanza kukurupuka! Uamsho waliponza kumwaga sumu waliona sawa kwa kuwa walijua hiyo ni turufu ya wao kuendelea kuwapo. Sasa wanakumbuka shuka tayari kumeshakucha!
 

hivi hawa ndugu zetu ujasiri wa KUCHINJA CHINJA WALIUPATA WAPI? AU NI MAZOEZI YALE YA KUCHINJA CHINJA WANAYOYAFANYA WAKATI WA HIJA?
 
sasa huyu askofu ndio alie mteka shekh farid ? yaani baada ya kulaani shauri la kutekwa nyara analeta ufedhuli
asiwagombanishe wazanzibar
kwa kauli hizi itaonekana kama kanisa linahusika ....

Mkuu, unaelewa maana ya kutekwa nyara? Au ndio wale wa kufuata mkumbo na kuunganisha hadithi uliyoisikia kwa wengine nawe ukaongeza vya kwako ili uonekane nawe hauko nyuma kwa "breaking news"?

Ungesikiliza maelezo ya dereva wa huyo sheikh, usingesema ametekwa nyara.
Huyo askofu ana akili na busara sana, ndiyo maana hakuweza kulaani kunakosemekana kutekwa nyara kwa huyo sheikh, kwa sababu hakuna aliyethibitisha zaidi ya kusikia kwamba aliteremka kutoka katika gari yake na kwenda kuingia katika gari nyingine.
Hiyo inamaanisha ni gari ya mtu anayemfahamu, kwa sababu hakuingia kwa shuruti. Sasa huo efedhuli wa askofu unatoka wapi?
 
Rais, Makamu wa rais, IGP, Mkuu wa TISS, Kamanda Kanda Maalumu, wote ni Waislam. Sasa ni nani anayewanyanyasa Waislam kama si akili ndogo tu za mbwa hawa!


uislamu si jina kilemba kofia wala kanzu ni matendo
 

Red: Labda ni kwa kuwa mtoa amri mkuu anapenda hayo wanayofanya...
 
Reactions: SG8

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…