BBC: Askofu Martin Shao wa Zanzibar atishiwa kifo; yadaiwa akimbia Zanzibar

Hi inaonesha vipi mfumo kristu unavotaka kukumbatia Zanzibar kwa kuinajisi kwa ukristu, lakini safari tunasema tumechoshwa waislamu kwani Allah anasema "uskubali kudhulumu wala kudhulumiwa" kabla ya Tanganyika kupata uhuru wake waislamu walipigania uhuru huku wakiongozwa na cha chama chao cha TAA [ALNOOR], na wao ndio walimkaribisha Nyerere, hawajali udini wala ukabila, lakini sasa baada ya kujua lugha ya wamishonari mnaona watu wote pumba sio, inshaallah hafiki miaka 50 ya muungano tutagawana mbao, kwani nyinyi ni wezi wa fadhila,
 
Mbona Askofu Martin Shao ni wa Dayosisi ya Kaskazini KKKT huyo wa Zanzibar imekuwaje tena.. au ni majina yamefanana..Ila katika hali ya kawaida Shein asikubali na yeye kuwekwa kwenye kundi la watu wasioweza kufanya maamuzi magumu kwa hawa wahuni, Hii itawaharibia hata kwenye utalii maana Zenji imekuwa kitovu cha vurugu sasa...Uamsho wote wakamatwe na wachukuliwe hatu stahili
Nashukuru kwa kunikumbusha Mkuu, ni Askofu Augustine Shao wa Jimbo Katoliki la Zanzibar na sio Anglikana. Ni kweli Dr Martin Shao ni wa ELCT Northern Diocese
 
Rais, Makamu wa rais, IGP, Mkuu wa TISS, Kamanda Kanda Maalumu, wote ni Waislam. Sasa ni nani anayewanyanyasa Waislam kama si akili ndogo tu za mbwa hawa!

Na Zanzibar ndio ajabu zaidi.....yaani rais, makamu wa kwanza wa rais, makamu wa pili wa rais, mawaziri na wabunge wote ni waislamu! Kisha kuna malalamiko juu ya haki za waislamu
 
Hii habari inamigongano mingi,sidhan km inaukweli wowote..maana huko zenji nimeona kwenye habari kupo shwari kabisa,vurugu zilikuwa dar tu.
Wewe umeangalia TBC nini? BBC hawawezi kukurupuka. Hata BBC ya Saa 3 usiku kupitia Star Tv imeonyesha mchungaji Michael wa Anglikana ambaye amekimbilia Dar baada ya kutishwa. Unaambiwa hilo ni tamko wa Uamsho ulitaka nayo ionyeshwe kwenye TBC?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Rais, Makamu wa rais, IGP, Mkuu wa TISS, Kamanda Kanda Maalumu, wote ni Waislam. Sasa ni nani anayewanyanyasa Waislam kama si akili ndogo tu za mbwa hawa!

mkristo safi haiti watu mbwa na kama wewe si mkristo basi na wewe pia mbwa jike
 
akihojiwa na mtangazaji wa bbc katika Dira ya Dunia salim kikeke amesema ametumiwa meseji na mtu asiyemfahamu kuwa watamteka na kumshikilia mpaka serikali itakapo muachia sheikh farid Hadd source Dira ya Dunia. BBC kiswahili. star tv.
 
Mbona sioni suala la kukimbia hapa? Sasa yeye akikimbia vipi waumini wake itakuwaje. mchungaji awakimbie kondoo? Akomae nao tu na kama atafanywa lolote baya basi atakuwa shuhuda.
 
huyo anayeasema wakristo waoga wanachoogopa nini .kuna chuo kinachofundisha kushika panga ..tutaweza tunachotumia ni busara tu .tiketi zetu zipo mkononi yakiendela tu tunarudi kulinda makanisa kwa heri hata kwa shari
 
akihojiwa na mtangazaji wa bbc katika Dira ya Dunia salim kikeke amesema ametumiwa meseji na mtu asiyemfahamu kuwa watamteka na kumshikilia mpaka serikali itakapo muachia sheikh farid Hadd source Dira ya Dunia. BBC kiswahili. star tv.
 
Ukiona mtu anakufanyia kitu kwa makusudi, jua kuwa alishakupima na akaona anao uwezo wa kukufanyia alichokufanyia. Jibu la swali hilo ni rahisi tu.

Ulishawahi sikia Benjamin William Mkapa amepewa ULTIMATUM?

Rejea kauli ya Hon. John Mnyika MP
 
sasa huyu askofu ndio alie mteka shekh farid ? yaani baada ya kulaani shauri la kutekwa nyara analeta ufedhuli
asiwagombanishe wazanzibar
kwa kauli hizi itaonekana kama kanisa linahusika ....

Wa Zanzibar anaitwa Agustino Shao. Yani kuna wakati natakari kama tuna serikali au genge la wahuni walioko ikulu kwiba tu hela zetu je hii ndio matunda ya SUK.
 
[h=5]Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina Ma Rais wa 5 (Rais wa Jamhuri (Mbara), Makamu wa Rais (M Zenj), Rais wa Zanzibar (Mzenj), Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar (Mzenj) na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar (Mzenj), hiv ndugu zetu wa Zenj Mnataka nini, Mungu awape nn jaman? na Ndugu zetu mnaochoma Makanisa, Mungu awape nini jaman based on hiyo List....Sisi ni ndugu jaman ee, tuishi kwa aman na kupendana[/h]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom