Kwa wale wapenzi wa BBA, watch DSTV mambo yameanza live!.
Hiki ndio kile kipindi cha maugomvi nyumbani wengine wakitaka kuushindia ujinga huu kutwa kuchwa, wengine tukitaka kuangalia vitu vya maana!.
Namsubiri mwakilishi wa Tanzania. Mkenya kavaa kimasai!.
Karibuni Sana.