Mkuu mimi sio employee..., kwahio siwezi kuwa mteja wenu wala kwenda kwenye ofisi zenu kwa maelezo itakuwa haina maana..., ila kwavile upo hapa unaona uvivu gani kutoa mchanganuo mzima wa kiasi cha kukopa na makato yote na vigezo na masharti yote.., hata mimi kama kesho kuna ndugu yangu anayefanya kazi akija kwangu ana shida na pesa naweza kumshauri kutokana na information zako.nenda kituo chochote cha bayport kwa maelezo zaidi ndugu yangu.
Hawa watu wameumiza sana rafiki zangu, hawafai kabisa.bora nianze vikoba kuliko nyie bayport majambazi waliniumiza sana.ni wanyonyaji wanakuambia muundo wa mkopo lakini wanakukata mara nne tofauti na mlivyoelewana.
USOTHUBUTU KUKOPA BAYPORT UTAJUTA MAISHA.
Zamani kulikuwa hakuna serikali? Kati ya taasisi zilizodidimiza watumishi, bayport mnaongoza. Watu wamelia sana kwa mbinu zenu za kutoa pesa ndani ya 24hrs
Hawa watu wameumiza sana rafiki zangu, hawafai kabisa.
Mkuu hapa hupati mtu, tafuta biashara nyingine kabisa. Hata huko vijijini mnakowaonea siku hizi ni wajanja.ndugu jua hata mabenk yalikuwa ivoivo pindi walipoanza kukopesha lakn kulingana na malalamiko ya wananchi na serikali kuingilia kati wakapunguza riba zao na hicho ndicho bay port ilichofanya.
bora nianze vikoba kuliko nyie bayport majambazi waliniumiza sana.ni wanyonyaji wanakuambia muundo wa mkopo lakini wanakukata mara nne tofauti na mlivyoelewana.
USOTHUBUTU KUKOPA BAYPORT UTAJUTA MAISHA.
Mkuu hapa hupati mtu, tafuta biashara nyingine kabisa. Hata huko vijijini mnakowaonea siku hizi ni wajanja.
ndugu yangu nenda kwenye ofisi za bay port utapata maelezo ya kutosha na naamini baada ya hapo utayaafiki maneno yangu,
Mkuu sahau hilo, mmeumiza sana watu kwa lugha hizi hizi. Tafuta biashara nyingine hii ya kitapeli achana nayo utapata laana bure.lengo langu si kupata mtu lengo langu ni kukushauri wewe kuhusu kinachoendelea bayport kwa sasa, naamini nawe utakuwa mjumbe mzuri kufikisha ujumbe ila kabla haujaufikisha naomba uufanyie utafiti wa kutosha nawe utakuwa msaada kwa wengine.
Dont try this at work
Hawa watu wameumiza sana rafiki zangu, hawafai kabisa.