Mimi ni loan officier wa bayport mkoa wa arusha, napenda kuwajulisha bayport tumepunguza makato na kukuwezesha wewe mteja wetu kunufaika. Mfano ukikopa laki tano kwa miezi sita utarudisha laki sita na kumi, ukikopa milion kwa miezi sita utarudisha milioni na laki mbili na elfu ishirini, tofauti na zamani ilikuwa ukikopa laki5 kwa miezi6 unarudsha laki7, ukikopa milion unarudisha riba ya laki4 kwa miezi6, sasa unaweza kukopa kwa mwaka, miaka2, miaka3 hadi mitano, kopa kwa sababu maalum na tujifunze kupata maelezo ya kutosha kwa kujitosheleza kabla ya kukopa, tunaowalenga ni wafanyakazi wa serikalini tu hata ukiwa na mkopo bado unaweza kukopa bay port. Wasiliana nami kwa namba 0762726126 kwa ushauri zaidi na maelezo zaidi
Weka hadharani interest rate per annum . Usitueleze habari za alki tano kwani kila mtu anataka kukopa laki tano? tena fafanua interest rate yenu ya zamani na ya sasa imipunguaje na makato mengine kwenye mkopo kama ada mbalimali pamoja na nyia mnazotumia kwa marejesho kama ni reducing balance au flat rateMimi ni loan officier wa bayport mkoa wa arusha, napenda kuwajulisha bayport tumepunguza makato na kukuwezesha wewe mteja wetu kunufaika. Mfano ukikopa laki tano kwa miezi sita utarudisha laki sita na kumi, ukikopa milion kwa miezi sita utarudisha milioni na laki mbili na elfu ishirini, tofauti na zamani ilikuwa ukikopa laki5 kwa miezi6 unarudsha laki7, ukikopa milion unarudisha riba ya laki4 kwa miezi6, sasa unaweza kukopa kwa mwaka, miaka2, miaka3 hadi mitano, kopa kwa sababu maalum na tujifunze kupata maelezo ya kutosha kwa kujitosheleza kabla ya kukopa, tunaowalenga ni wafanyakazi wa serikalini tu hata ukiwa na mkopo bado unaweza kukopa bay port. Wasiliana nami kwa namba 0762726126 kwa ushauri zaidi na maelezo zaidi
Kulingana na mshahara wake how, nusu ya mshahara wake, mara kumi ya mshahara wake, sawa na mshahara wake au ?Kwa sasa mtu anaweza kukopa kulingana na mshahara wake si kama zamani na tunakata robo tu ya mshaara, hiyo inatokana na masharti yaliyowekwa na serikali, na ikiwa utazidsha basi system itakataa, vinavyohitajika ni copy ya kitambulisho cha mfanyakazi, bank statement, salary slp na copy ya ATM.
Bado riba zenu ni kubwa mno...hasa kwa miezi michache ya kurudisha, na hamsemi riba ni asilimia kiasi gani, je asilimia ni 18 au 20 ya mkopo?
Haya mambo yote lazima yawe wazi, pia je hela ikirudishwa kabla ya wakati inakuaje....
Msifanye kama mambo ya Easy Finance, tunawaomba muwe wakweli na wawazi...
ntamaholo;ata mimi mkuu. Ni wezi sana na wanatumia mke wa mkapa kuiba. Sijawahi na sitothubutu. Mpango mzima ni kwa kimei tu
ndugu yangu serikali imeingilia hili suala kati na masharti yamewekwa.
Kulingana na mshahara wake how, nusu ya mshahara wake, mara kumi ya mshahara wake, sawa na mshahara wake au ?
Wasije wakawa kama ma "Shark Loan" Co hawa, maneno mengu matamu kumbe matapeli na wezi wakubwa....
Dont try this at work
Zamani kulikuwa hakuna serikali? Kati ya taasisi zilizodidimiza watumishi, bayport mnaongoza. Watu wamelia sana kwa mbinu zenu za kutoa pesa ndani ya 24hrsndugu yangu serikali imeingilia hili suala kati na masharti yamewekwa.
Tumehamia crdb bagport siku zote mtawapata wasio makini kichwani. Kwa sasa crdb ndo mpango. Mkopo mmoja, nyumba inaonekana
Kabisa mkuu, hawa ni wezi wakubwa!!bayport,platnum na takataka zote msijaribu kukopa ni wezi wakubwa.ptuu