Kwa thread ambazo nimezisoma hakuna anayesifia huduma yenu ya mikopo. Na kama mmefanya maboresho nani anayafahamu? au mmeyakalia kwenye viti vyenu? Vile vile inaonekana hakuna uwazi kwenye huduma yenu ya mikopo. ACHA KUPOTOSHA UMMA KWA MASLAHI YAKO BINAFSI NA USITAKE WENZAKO WAPOTEE. SHAURI KIKAMILIFU KWA MAENDELEONdugu mteja huduma zetu zimeboreshwa acha kusikiliza maneno ya mtaani kwa watu ambao hata sifa ya kukopa hawana ndo mana unasikia sijui mama alikopa ,achana na majumbu njoo ukope kwa faida yako
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
jamani acheni majungu na propaganda bayport tuko vizuri tena sana makato tumeshusha kwa asilimia 50% mashariti yetu ya kupata mkopo ni rahisi na mikopo yetu ina bima njoo ofisin tuwape ufafanuzi halafu mlinganishe na huko kwingine ukweli utajitenga
Mkuu ili kuweka mambo sawa .....toa mchanganuo wa mikopo yenu hapa.....Ndugu mteja huduma zetu zimeboreshwa acha kusikiliza maneno ya mtaani kwa watu ambao hata sifa ya kukopa hawana ndo mana unasikia sijui mama alikopa ,achana na majumbu njoo ukope kwa faida yako
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
... poa!
Ninajipanga kurudi Shule. Mara hii kusomea Sheria. Nitajikita kwenye Law of Torts. Wa kwanza kuwabana ni Bayport, Blue, FINCA, Pride na Loan sharks kama nyinyi. Wateja wangu wa awali watakuwa Walimu, Manesi, n.k. nipatieni miaka 2 tu!!
njoo ofisini tukupe mchanganuo upate ukweli kamili kwa faida yako mwenyewe
tunajua tuna washindani wetu wa kibiashara wengi na ndio wanao eneza propaganda na majungu
we unahusika kwenye kitengo gani usije kuwa mlinzi wa getini unapiga promo 2, binafsi nakuona kama mjinga fulani, unatetea hujui cku moja wajukuu au watoto wako watapeliwa hivihivi. Una Mawazo finyu
wakuu hawa jamaa wanafaa kwa mikopo nataka kumalizia banda langu hebu nipeni ushauri