Bayport acheni utapeli

Sio poa mkuu majamaa ni proffesional
 
Deni lao lilikuwa limebaki 2 m nmecheki salary slip ya mwez uliopita deni badala ya kupungua limeongezeka 3 m mbele
Haahaah umefanyiwa Loan Rescheduling (LR) kimya kimya mkuu. Hufanyika hivo then unaskikizia kama mteja atasumbua (mfatiliaji) inarudishwa normal. Akikaa kimya ndo imekula hio
 
Haahaah umefanyiwa Loan Rescheduling (LR) kimya kimya mkuu. Hufanyika hivo then unaskikizia kama mteja atasumbua (mfatiliaji) inarudishwa normal. Akikaa kimya ndo imekula hio
Waandikie barua ya lalamiko,wasipojibu Basi Sheria ziko upande wako utapata na fidia km itathibitika mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…