Bayport acheni utapeli

pole mkuu
next time nenda benk japo shida hazibishi hodi
Tatizo Benki unakuta mlolongo mrefu halafu hizi kampuni janja janja wanakuambia mkopo ndani ya nusu saa...ukiwa na shida ndipo unapofanya maamuzi mabaya
Kuna umuhimu wa kujiandaa kwa lolote katika maisha
Tuzichange kipindi tukiwa hatuna shida
 
pole mkuu
next time nenda benk japo shida hazibishi hodi

Kuna umuhimu wa kujiandaa kwa lolote katika maisha
Tuzichange kipindi tukiwa hatuna shida
Maisha yenyewe haya hata kesho hujui utakula nini, utajichangaje hapo ndio matatizo yanapoanza na ndipo kampuni za mikopo zinaponufaika
 

Fanya uwasliane nao haraka kabla hujapotezaĺ

Ila hakikisha una viambatisho vyako ikiwemo fomu na mkataba wa mkopo, makato ulikwisha wasilisha

Ukichelewachelewa utakuta mwana sio wako
 
Fanya uwasliane nao haraka kabla hujapotezaĺ

Ila hakikisha una viambatisho vyako ikiwemo fomu na mkataba wa mkopo, makato ulikwisha wasilisha

Ukichelewachelewa utakuta mwana sio wako
Asante nitafanya hivyo
 
Inaelekea ulikuwa unaambiwa lakini hukuamini na wala hukuuliza zaidi mpaka ulipokutana na tatizo ndiyo umeamini na unaanza kukumbuka kuulizia ufanyeje. Watu wa aina yako ni wabinafsi sana. Mpaka apatwe na tatizo ndiyo anaamini na kuanza kuulizia atafanyaje.
 
 
Dah! Sasa sijui tutumie njia gani kufikisha ujumbe!! Lakini ni ukweli kwamba, kama wewe ni mtumishi wa umma, na unataka kukopa, basi nenda kwenye benki zinazo tambulika kama crdb, nmb, nk. Hata kama watakuchelewesha kuupata huo mkopo, ila mwisho wa siku utapata mzigo wako na makato yatakuwa ni yale mliyo kubaliana, tofauti kabisa na hao matapeli.

Hizo taasisi za kifedha ni pasua kichwa. Mara nyingi huja na maneno matamu na ya uongo! Ukinasa tu, umekwishwa.

NB: walimu wa ajira mpya, muwe makini. Subirini mpate sifa za kwenda kukopa benki, ndipo mkakope ilinunulie magari, pikipiki, mnunue viwanja, kusomesha, nk. Msikope kwenye hizo taasisi za kifedha kama bayport, platinum, nk. Wana riba kubwa sana hawa watu.
 
Mkuu nmejifunza
 
Duuh jamaaangu kaingia mkenge daaah
 
Hivi hawa wanapataka wapi namba zetu za simu na kutuma ujumbe tukakope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…