chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,012
Kile nilichokuwa naambiwa na watu kuhusu hii kampuni nmeamini n kweli n matapeli wakubwa hawa.
Walikuwa wananidai deni lao kama milion 2 nimeangalia salary slip nmekuta wameongeza deni limefika milion 5 huu sio utapeli kweli?
Mm siwezi kubali kutapeliwa kizembe naomba msaada jinsi ya kuwaadabisha hawa nyumbu
ShidaNini kilikutokea mkuu had ukaamua kwenda kwa hao jamaa
Asante mkuuHead Office
Bayport House
3rd Floor, Al Dua Towers
Plot 3/12, Regent Estate
New Bagamoyo Road, Kinondoni
P.O. Box 71767
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 22 277 1420/1/2/3
Customer care: 0800 782 700
AsanteHa ha pole mkuu.
Hawa wapumbavu wanashirikiana na maafisa utumishi wasio waaminifu.Kwa Bayport imekula kwako hao jamaa ni expert kwenye dhuruma.
Wanapatikana wapi mkuuNenda FCC Mkuu. Kama kweli kuna figisu wamefanya utalamba mpunga mrefu sana.
NB: FCC=Fair Competition Commission
Mimi jamaa yangu ashakutana na kesi kama hiyo. Ukienda ofisin kwao wanakwambia tuliza boli kesi kama zako zipo nyingi sana. Weka barua yako hapo zamu yako ikifika tutaona shida iko wapi. Hapo inaweza pita hata mwaka huku wanaendelea kukata.Hawa wapumbavu wanashirikiana na maafisa utumishi wasio waaminifu.
Kama ubaya na iwe ubaya tu kuna mtu lazima atawajibishwa
Labda wamekupimia wameona hauwezi kulipa kwahiyo wanajaribu kukupunguzia mzigo utakapoamua kuuzaNdio wale wanataka uwe na gari namba D, nasikia kuna kampuni wakishakupa mkopo wao chini kwa chini wananza kutangaza kuna gari namba D inauzwa🐒
Hao ni Platinum creditNdio wale wanataka uwe na gari namba D, nasikia kuna kampuni wakishakupa mkopo wao chini kwa chini wananza kutangaza kuna gari namba D inauzwa🐒
pole mkuuShida
Deni lao lilikuwa limebaki 2 m nmecheki salary slip ya mwez uliopita deni badala ya kupungua limeongezeka 3 m mbeleInategemea mkataba ulioingia wa mkopo wa iyo 2 million mlikubaliana utalipa baada ya muda gani. Kama mlikubaliana utailipa ndani ya miaka 5-7....ukijumuisha riba itafika huko tu.. sioni namna unaenda kuwashinda endapo mkopp wako ni wa muda mrefu.
Huwa taasisi zinakushawishi ulipe kwa muda mrefu kwani makato ya mwezi yanakuwa madogo zaidi, ila ukija kwenye riba ndo inakuwa style hii....
Nmejifunza kitupole mkuu
next time nenda benk japo shida hazibishi hodi
Tatizo Benki unakuta mlolongo mrefu halafu hizi kampuni janja janja wanakuambia mkopo ndani ya nusu saa...ukiwa na shida ndipo unapofanya maamuzi mabayapole mkuu
next time nenda benk japo shida hazibishi hodi