Bayern Munich special thread

Bayern Munich special thread

BAY 3_1 PSG. Full-time R.Lewandosick1,Toliso 2.
 
Vi thread vingine msiwe mnavianzisha
Ninyi kazi kusema vya wenzenu mbona mlikalishwa nyingi na mtu mmoja
Ronaldoooooooo!!!!, vibonde wako hawa wa kukupatia magoli
Yaani we njo ukutane 2 na hivi vijamaa utavipiga hati vikimbie thread
Au king messi njo uvipige tena matobo na uvilambishe mchanga
Vitoto hivi
 
Umesahau kipindi barca wanaoga 4 home&away mess alikuwepo au hayo tukaushe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom