Bayern Munich special thread

Nywilla

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
379
349
Arsenal haswa Ni watam Sana
 

Attachments

  • tapatalk_1488480948990.jpeg
    tapatalk_1488480948990.jpeg
    18.8 KB · Views: 77
Arsenal wasimfukuze Wenger ili waendelee kuwa mdebwedo hasa wanapokutana na Liverpool na Bayern munich
 
Haahaa wenger mzee mwenye upepo kuliko wote kuwahi kutokea duniani .
 
Hivi Kweli ww ndo Carlo Anceloti?????? Au macho yangu yamenidanganya??
 

Attachments

  • FB_IMG_1489086408718.jpg
    FB_IMG_1489086408718.jpg
    37.9 KB · Views: 66
  • FB_IMG_1489086639921.jpg
    FB_IMG_1489086639921.jpg
    28.1 KB · Views: 70
Shalke 04: 0 - 2 Bayern.
Robert Lewandosk na James Rodriguez
 
Kiukweli kwa sasa naamini wazee wa kazi Bayern Munich tumerudi tena ni aibu kubwa sana kufungwa na vitimu kama PSG ,,,haki ya mungu ngoja waje allianz arena watajuta
 
bavarian mimi baada ya babu kurudi sina wasiwasi ubingwa upo tulia tu pia nasikitika ile mashine isiyochoka imeumia MARTINIZE
 
Half time Dortmund 0_2 Bayern (A.Robben, R.Lewandosk).
 
Sasa wale wote waliokuwa wanmuonea Bayern Munich misimu mitatu iliyopita wajiandae! Huyu Mzee Jupe kaja kurudisha heshima iliyopotea pale Arianz Arena.

Hapa Dortmund atapigwa tano! Na anaefuata nae tano! Na wale wote waliomuonea bayern kwenye uefa watapigwa tano!!.

Hii Bayern Munich siipati picha itakavyokuwa kwenye hatua ya mtoano champs league
 
Back
Top Bottom