BAWACHA wawasha moto Munduli

jimbo la monduli linahitaji ukombozi wananchi wake tuko chini ya intarahamwe

Ndio kazi imeanza chini ya kamanda Cecy Ndossi mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Arusha
 

Hakikisheni hawaponi maani, wametunyonya sana
 
Updates za pic za leo
 

Attachments

  • IMG-20150110-WA0189.jpg
    117.2 KB · Views: 1,478
  • IMG-20150110-WA0188.jpg
    96.3 KB · Views: 165
  • IMG-20150110-WA0184.jpg
    76 KB · Views: 166
  • IMG-20150110-WA0185.jpg
    114.6 KB · Views: 563
Mbona CHADEMA mnaanza kampeini mapema kabla ya hamjaruhusiwa na Tume ya Uchaguzi (NEC)?!

Hizi ndiyo FUJO anazosema Nape Moses Nnauye!

Mbona kinana naye amenza kampeni nani kamruhusu?
 
Kimbiza ccm Mwa mwi
 

Attachments

  • 1420829353408.jpg
    9.4 KB · Views: 167
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…