BAWACHA wawasha moto Munduli

kamanda nawaomba mje kongwa kwa ndugai waambie makamanda hao wa kitaifa hasa mwenyekiti waje waashe huku
 
ቸደረዠአቸሸጠ መጀጸበጨተፈቨጸጠቀደቸዘ
 
!... Mi Sijaelewa. Bawacha Si Wanawake? Akina Lema Wanaingiaje Hapa.
 
Mbona CHADEMA mnaanza kampeini mapema kabla ya hamjaruhusiwa na Tume ya Uchaguzi (NEC)?!

Hizi ndiyo FUJO anazosema Nape Moses Nnauye!
 
Tafautisha kati ya kampeni na mkutano mkutano huu upo kwenye Ratiba ya chama
 
Mbona CHADEMA mnaanza kampeini mapema kabla ya hamjaruhusiwa na Tume ya Uchaguzi (NEC)?!

Hizi ndiyo FUJO anazosema Nape Moses Nnauye!

... Kinana Na Pinda Wanafanya Nini
 
Mbona CHADEMA mnaanza kampeini mapema kabla ya hamjaruhusiwa na Tume ya Uchaguzi (NEC)?!

Hizi ndiyo FUJO anazosema Nape Moses Nnauye!

muulize kina kwanza kabla ya kuuliza fujo za chadema maana mlisema zamani chama cha msimu unalia nini tuliza boli mkuu tutaheshimia mpaka utupe shikamo huku umepiga magoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…