Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Leo majira ya saa tisa alasiri kutafanyika mkutano mkubwa na wakistoria katika viwanja vya polisi katika mji wa mto wa Mbu wilayani Munduli.
Mkutano huo utaongozwa nakamanda shupavu mwenyekiti wa Bawacha mkoa Kamanda Cecy Ndosi viongozi mbalimbali wakichama watakuwepo. Mwenyekiti wa Bavicha taifa Patrobas, Natse(mb), Godbless Lema (mb), diwani Bananga, kamanda Magoma, kamanda Mawazo, nawengine wengi karibuni sana.
Updates nitaendelea kuwaletea mkutano ukianza
Pigeni kazi makamanda hadi kieleweke. Pukutisha magamba yote huko.
Ni mwana harakati wa kweliDuh! Umenikumbusha mbali nilipokuwa Monduli, huyo mzee kwenye hiyo picha ya pili namfahamu sana ni full burudani comedy tosha.
Point of correction : edit neno Munduli lisomeke Monduli.
...chezea chadema,rorya tuko nyuma yenu......na tuko tayari kuwamaliza ccm 2015 wapende wasipendeLeo majira ya saa tisa alasiri kutafanyika mkutano mkubwa na wakistoria katika viwanja vya polisi katika mji wa mto wa Mbu wilayani Munduli.
Mkutano huo utaongozwa nakamanda shupavu mwenyekiti wa Bawacha mkoa Kamanda Cecy Ndosi viongozi mbalimbali wakichama watakuwepo. Mwenyekiti wa Bavicha taifa Patrobas, Natse(mb), Godbless Lema (mb), diwani Bananga, kamanda Magoma, kamanda Mawazo, nawengine wengi karibuni sana.
Updates nitaendelea kuwaletea mkutano ukianza
juzi tu mlisema patrobas ni passive. kijana yuko makini tofauti anavyo andamwa. mkutano mwema msiishie mtowambu tuu enendeni hata huko vijijini mkafikishe ujumbe wenu.
juzi tu mlisema patrobas ni passive. kijana yuko makini tofauti anavyo andamwa. mkutano mwema msiishie mtowambu tuu enendeni hata huko vijijini mkafikishe ujumbe wenu.
...
....Lema + Bananga + Mawazo + Magoma leo Mto wa Mbu patawaka moto yule Mzee pole yake !!!
picha tuma basi
....Dogo yuko Makini sana !!!
Zimefika hizo nimuhimu sanaKama kamanda Mawazo atakuwepo, mkutano utanoga sana.
Wasisahau kukumbushia kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi mkuu!