BAWACHA waliona mbali kumpiga Chini Catherine Ruge

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
22,138
Reaction score
32,715
Huyu dada Catherine Ruge alivyopigwa Chini kwenye Ukatibu Mkuu wa BAWACHA nilihuzunika Sana.

Ila kwa Sasa naona waliompiga Chini waliona mbali Sana kumbe alikuwa kirusi kwenye chama. Kateuliwa tu kwenye Secretariat kwa heshima kaanza ujinga. Akae pembeni asaidie mambo ya uhasibu.
 
Kwa vile Yuko G55 wenye akili kubwa kuliko mwenyekiti wenu tapeli la kisiasa aliyekosa busara na hekima
 
Sema hakuna unachopata kwa hao unsowashangilia. Hivi mnadhani siasa ni sawa na ushaabiki wa mpira ambano hata matahira na wajinga wanaweza kishangilia goli bila kujali kafunga nani.
 
Nawashangilia kwa vile Wana hoja nzito kiasi kwamba Lissu na genge lake wanashindwa kuzijibu
 
Back
Top Bottom