BAWACHA kuichelewesha CHADEMA kuingia IKULU?

BAWACHA kuichelewesha CHADEMA kuingia IKULU?

Ni ukweli wa wazi vyama imara vinahitaji taasisi imara na hizi ndiyo jumuia za chama, unapokuwa na jumuia zisizowajibika unaua chama kwa hiyo analysis yako ni msaada kwa chama chochote kinachozingatia ushauri UNAOTOLEWA NA WADAU WA SIASA ZA NCHI

Ushauri wako ni muafaka sana.
 
Nakushukuru sana Dr Slaa kwa jinsi ulivyo makini na unavyojibu hoja hapa JF.Nimefurahishwa jinsi ulivyochukulia bandiko langu na jinsi ulivyo positive.Keep it up Dr.!

Hakika Dr Slaa anahitaji pongezi za hali ya juu.Amekuwa Katibu mkuu pekee kati ya vyama vikuu nchini kujitokeza hadharani kwenye JF kukabiliana na changamoto za wanabodi.
 
Hakika Dr Slaa anahitaji pongezi za hali ya juu.Amekuwa Katibu mkuu pekee kati ya vyama vikuu nchini kujitokeza hadharani kwenye JF kukabiliana na changamoto za wanabodi.

pamoja sana mkuu
 
Analysis hii inakufanya Wewe kuwa miongoni mwa mashujaa wa Tanzania. Analysis yako ni ya kitaaluma zaidi, ina mlengo wa kimaendeleo na ni ya kizalendo haswa.
Nimeona hapo juu, the RIGHT Presedent Dr. W. Slaa amekubaliana na ushauri na maoni yako. BAWACHA wanatakiwa kufanya zaidi ya hicho wanachokifanya Dar es salaam kwa sasa. Mtiririko wa comments kutoka kwa WanaJF unaweza kusaidia kufanya framework ya wanachotakiwa kukifanya kuanzia leo. Baraza hili ni Nguzo muhimu katika kuleta ushindi na Demokrasia Tanzania.
 
WanaJF,
Concern and advice noted. Action already taken, naomba kwa kuanzia mfuatilie matukio ya BAWACHA katika jiji la Dar-Salaam. Feedback will be appreciated.

ooh! Rais wangu. I trust you. Work on it
 
Analysis hii inakufanya Wewe kuwa miongoni mwa mashujaa wa Tanzania. Analysis yako ni ya kitaaluma zaidi, ina mlengo wa kimaendeleo na ni ya kizalendo haswa.
Nimeona hapo juu, the RIGHT Presedent Dr. W. Slaa amekubaliana na ushauri na maoni yako. BAWACHA wanatakiwa kufanya zaidi ya hicho wanachokifanya Dar es salaam kwa sasa. Mtiririko wa comments kutoka kwa WanaJF unaweza kusaidia kufanya framework ya wanachotakiwa kukifanya kuanzia leo. Baraza hili ni Nguzo muhimu katika kuleta ushindi na Demokrasia Tanzania.

Mkuu wangu Nakushukuru sana.Kwa pamoja tutaijenga zaidi demokrasia katika taifa letu katika hali ya amani na utulivu.
 
Kalagabao wenzako walitaka Ubunge wa Viti maalum tu, washaupata wanatafuna posho. Na ndio hao hao waliokuwa wkidai posho zaidi
 
Kumbe BAWACHA ndiyo hiyo, duuu katika hili CDM kuna udhaifu, hivi M/kiti wa BAWACHA ni nani? BAVICHA waendelee kukaza buti wasitosheke na mafanikio ambayo yameanza kuonekanna kazi bado kubwa hadi kuyatoa magamba
 
Nimeona tamko la Bawacha leo kwenye magazeti nikafurahi sana.Nimeamini JF si mchezo.Mleta mada alileta hii mada jana tu na leo tayari kazi imeanza.Keep it up!
 
Hapa umenena mkuu

inabidi Bawacha iwe imara kuliko UWT , Bawacha inatakiwa kuongozwa na mtu makini
 
Back
Top Bottom