BAVICHA yatuma salamu za Eid kwa Waislam

BAVICHA yatuma salamu za Eid kwa Waislam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,589
Reaction score
272,332
Instagram media - B1AqAHyAEe0.jpg


Pamoja na kwamba Taifa limepata msiba mkubwa , lakini hilo haliwezi kuzuia Sikukuu za kidini zinazofanyika dunia nzima
 
Mtu atawekwa chini ya ulinzi muda si mlefu, unatumaje salam wakati taifa linamajonzi?? Uko nikuingilia majumu ya yule muongeaji mkuu wa awamu
 
Hawajatuma. Hv mlivyotangaza kiwa maombolezo yameanza jana...kuna bemdera yoyote nchini ilipepea nusu mlingoti jana? Au mnawaona watanzania ni mapunguani?
kwa hiyo kumbe zile 3 za maombolezo zilianza jana ! hawa watu magumashi matupu !
 
Back
Top Bottom