MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Mkuu hayo mabuti wanayakaza kuelekea tumboni teh teh teh waambie hao MABAVICHA wapinge posho wabunge wao wanapiga posho sijasikia wakisema bado!
Malumbano na watu kama wewe ni utaahira wa mwisho kabisa, Angalia hisia zako tuachie hisia zetu
Hongera BAVICHA kwa kutuongoza kuelekea magogoni -hakuna kulala mpaka tufike magogoni. Hili genge la watuhumiwa wa ufisadi, unafiki na rushwa haliwezi kuendelea kutudidimiza na umaskini.Baraza la Vijana CHADEMA limejipambanua kama Baraza bora kabisa la vijana katika vyama vyote vya siasa hapa nchini.
Mwenyekiti wa BAVICHA Patrobass Katambi amelijenga Baraza hilo kama Taasisi imara kabisa tofauti na mtizamo wa baadhi ya watu siku za nyuma.
Ni takribani miezi miwili sasa viongozi wote wa BAVICHA wako mikoani na vijijini sehemu tofauti za nchi wakihamasisha operesheni yao ya BVR Shahada mkononi kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura.
Kwa mfano kwa sasa Mwenyekiti wa Taifa Patrobass yuko mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki akifanya mikutano ya hadhara na ya ndani kuhamasisha zoezi hilo na ujenzi wa chama.
Makamu Mkiti Patrick Ole Sosopi akiwa na viongozi wengine wa baraza hilo wanaongoza hamasa kubwa mikoa ya Kanda ya kaskazini na mikutano yao imeitisha CCM
Katibu Mkuu Bavicha Julias Mwita na Katibu Mwenezi Edward Simbeye wanatikisa mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria huku idadi kubwa ya wananchi ikiwaunga mkono kote wanakopita.
Wanachama wengi wa CHADEMA wamepongeza kazi kubwa inayofanywa na BAVICHA kote nchini na ni urithi bora kabisa kutoka kwa viongozi mashuhuri nchini Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa.
Hongereni BAVICHA...Endelezeni mapambano!!
Hapa ni mikoa Mbalimbali Vijana wetu wa Bavicha wakiwa kwenye matukio. Bavicha wamekua tegemeo kubwa sana kwa vijana wa Tanzania na mpaka sasa hivi ndio Baraza bora la vijana kwenye vyama vya siasaAttached Thumbnails
Pia fanyieni kwanza hili la kila mwaka kwa nini CDM wanapewa hati ya mashaka kutoka kwa CAG kwa ufisadi wa kutafuna Ruzuku wanayopewa na Serikali ya CCM?
safi sana bavicha uku kwetu jambazi lowasa ameanza kampeni ughambani hatuna cha kufanya ccm iko mfukoni mwa chenge
uchunguzi umebaini kwamba hakuna vijana wenye njaa kali nchi hii kuwazidi uvccm !Ccm imeua uvccm imebaki ujanja viachukua chako mapema
wala si yeye huyo , njaa haina baunsa baba .