Ukiwaangalia unaona namna walivyojikatia Tamaa na kukosa matumaini ya chochote kile. Wapowapo tu huku wakisikitika namna chama kinavyotafuna pesa na michango ya wanachama kama mchwa.
Paza sauti mpaka mbowe aje hadharani kueleza pesa za join the chain zipo wapi? Zilikusanywa shilingi ngapi? Zimefanya kazi ipi?kwa utaratibu upi?