BAVICHA Wamzima Nape Na Kinana Bukombe

BAVICHA Wamzima Nape Na Kinana Bukombe

Chademakwanza
Siku wakihoji ruzuku tu, mtasikia wasaliti..., masalia n kila jina baya!


isotope;
Hivi maccm hamna hoja nyingine ya kuwasumbua UKAWA ni ruzuku, udini, ukanda na saccoss tuuu? Mleta hoja kasema kilichowavutia wananchi kule Bukombe, ni jinsi vijana hawa walivyoweza kupanga hoja zao tofauti na hao WAENEZI wenyu walivyo jipambanua kwa matusi yao na kebehi zisizo jenga. Weye unakuja kuunga mkono kuwa mmefilisika hamna tena hoja bali kukariri hoja mfu. Ahh! Poleni maccm, kweli mmekwisha kabla ya Oktoba. Dahhh
 
Back
Top Bottom