Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Kiama ni October
Na hiyo avatar yako endelea kukata majani maana hata hujui hata tarehe ya kupiga kura ni lini teh teh geh
Kiama ni October
Tathmini hiyo imefanywa na shirika gani?
Hiyo wamefanya wenyewe wakiwa gesti wanakunywa viroba na mirungi!
Kidogo machadema nayaelewaga kwa sababu ni mawatu ya hoja...SSM ni ndio mzee kila kitu
Umepotea njia mkuu, hayo unayoyasifia huyajui ngoja siku yakikukongoloa meno ndo utayajua naleyombaga gete acha ushamba bhebhe!
Hiyo wamefanya wenyewe wakiwa gesti wanakunywa viroba na mirungi!
Umepotea njia mkuu, hayo unayoyasifia huyajui ngoja siku yakikukongoloa meno ndo utayajua naleyombaga gete acha ushamba bhebhe!
Uvccm ilishaacha siasa long time sasa ni makuwadi wa wasaka urais tu.
Pigeni kazi makamanda wa BAVICHA nyie ndio tumaini pekee kwa watanzania
Baraza la vijana wa CHADEMA Taifa,jana waliufanya mji wa Bukombe kusimama kwa muda wa masaa Matano,walipo kuwa wakiingia Bukombe Viongozi hao machachari walipokelewa kwa msafara mkubwa wa Magari na Pikipiki zilizopambwa kwa bendera za CHADEMA hadi katika viwanja vya Mkutano.
Mkutano ulianza majira ya saa10 za jioni,ambapo uwanja ulilipuka kwa Shangwe na vigelegele huku sauti zikisikia kwa mbali,kwa namna Viongozi hao walivyo jipanga.Katika msafara huo Yupo Katibu Mkuu wa BAVICHA Julius Mwita,Naibu Katibu Mkuu Zanziba Omary Nassoro na Katibu Mwenezi wa BAVICHA Taifa Edward Simbeye.
Mashambuli yenye hoja yaliofanywa na viongozi hao,yaliwafanya wananchi wa BUKOMBE kupiga kelele na kusema ukombozi umekuja sasa,kilicho wavutia zaidi wananchi ni jinsi Katibu Mkuu wa Baraza hilo pamoja na Mwenezi wake wanavyo shambulia jukwaa hata kupelekea kupewa majina ya Washambuliaji hatari wa Fc Barca yani MESSI na NEYMAR.
Baada ya mkutano kumakizika,gari la viongozi hao lilisukumwa mpk katika Hotel waliyofikia kwaajili ya kupumzika.
Tathmini ya wananchi baada ya mkutano kwisha,ni kwamba vijana wa BAVICHA wameweza kujenga hoja na kuonesha muelekeo wa Taifa,na wameufunika mkutano wa Nape na Kinana kwakuwa hawakuwa na hoja bali ni matusi na Maigizo tu yaliotawala jukwaani.
Maswali yaliyobaki vichwani kwa Wananchi,ni kwamba kama vijana hawa wanauwezo kiasi hiki je wakubwa wao itakuaje????
hawa hapa , wanauwana kwa ajili ya rushwa ya elfu tano tano !Uvccm ilishaacha siasa long time sasa ni makuwadi wa wasaka urais tu.
Pigeni kazi makamanda wa BAVICHA nyie ndio tumaini pekee kwa watanzania
kweli Mkuu hata mwenyekiti wao JK aliligundua hilo na akawaonya waache kuwa makuwadi wa wagombea urais.Tuwape kila msaada hawa vijana kwani wanatekeleza majukumu yao,siyo wale makuwadi
Hii ndio Hali Halisi Ilivyokua Bukombe Jana
Uzuri wa Chadema, Si lazima aje Mbowe au Slaa. Yeyote tu.
Safari yamatumaini imewaeka Uvccm MfukoniUvccm kazi yao nu kupiga watangaza nia wa chama chao wasio na pesa za kuwahonga au kuwatukana wagombea wasiowaunga mkono kama walivyomfanya mzee Kalokola.
Hiyo wamefanya wenyewe wakiwa gesti wanakunywa viroba na mirungi!