choga mkuu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 283
- 110
Baraza
LA Vijana Chadema limekuja kivingine baada ya Leo MUSOMA mwenyekiti Wa BAVICHA TAIFA kuzindua operation inayolenga kuwaelimisha wananchi juu ya maendeleo na faida ya kuwa na utawala bora unaozingatia sheria ambao si Wa kutafta sifa na kuumiza wananchi. Aidha operation hii itaendelea nchin kote.