chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) wamesema wanaenda Dodoma kumuunga mkono Magufuli kwenye tamko lake la kuzuia mikutano ya vyama vya siasa hadi mwaka 2020.
Wanadai wamefanya hivyo kwa ajili ya uzalendo ili kuwe na usawa.
Nao Vijana wa CCM (UVCCM) wamelaani na kusema kuwa vijana wao watawashughulikia watu wote wanaoenda kuvuruga mkutano huo na CCM ina uwezo mkubwa sana.