Bavicha temeke watoa tamko


Aufunge kwake na demu wake ila watanzania hawezi kutufunga midomo kwanza inamuuma nini sisi kuwajadili viongozi hawa? Tukiwaacha ni kuwaogopa.
 
Last edited by a moderator:
Huyu anamuwakilisha nani? Kila kitu NATAKA!!! I thought ni mawazo ya unaowaongoza kumbe ni mawazo yako ... umenunuliwa wewe sio bure ....

Apigwe tuu maana Katibu Slaa alisema mjadala umefungwa yeye anaendelea.........ila jamaa jasiri kweli limeweka hadi namba yake ya simu.
 
Hahahahahahahahahhahahahaha

Yaani na wewe unajiweka humo!!!!!

Ama kweli dunia haiwezi kuisha vituko.
Ritz FaizaFoxy THE BIG SHOW mmeona kijana muashi? Huyu ni mlaghaika, umuhimu wake ni kuongeza idadi ya watu kwenye maandamano tu!!!

Mhehe anaejiita Yericko Nyerere na Wachagga ni kama mbingu na ardhi, ngoja wamtumie kama tambara bovu kisha walitupe jalalani ndio atajuwa kwanini umecheka.
 
Me nafikiri mnazidi kuchanganyikiwa kabisa.
Hivi kusema ukweli ni kununuliwa?

Ukiona hivyo ujue sera zimeisha, matusi yameisha.......sasa imebaki wamenunuliwa.....Daaah Tundu Lissu anawakaanga wenzake kwa Jazba zake kisa mwanasheria.
 
Huyu jamaa ni mganga njaaa kiukweli namjua alimaarufu kwa jina la yona,huyu yupo kwenye payroll ya mtemvu na alijitaidi sana kuujunu mkutano wa dr wa mwisho wa mabaraza ya katiba pole mwembe yanga na baadae kwenda bar kupongezwa na sasa anahaha kutoka vipi na pia hapo tmk amejitaidi kusimamisha zoezi la chedema ni msingi ameshindwa kifupi ni mtu wa abbas mtemvu. najua mwakyembe unanisoma(m/kiti wa chadema ni msingi) yona acha utoto kwanza umeonesha hujui hata katiba,pia najua hili ni shindikizo la mtemvu kuandika huu upuuzi,mianzini ulikimbia kwenye kampeni za udiwani shame on u haya nenda kwa mtemvu ameshasoma hapa akakupe mgao wako,mwenyekiti unatoa tamko nataka, pole deo(katibu jimbo) kufanya kazi mtu kama huyu ni upuuzi mtupu.
 
Hili sio tamko bali ni kinyesi kilichopo kwenye toilet paper!
 

Uchaguzi wa viti maalumu ukoje?
 
Jaribu kupima akili ya huyu mtu mjinga kabisa anavyokuja kuongea mbele za watu kwa tambo za kijinga kabisa,Mkiti Mkoa Temeke,Mkiti Wilaya Temeke, Mjumbe sijuhi takataka gani vile.
Swali langu ni huna wanachama wengine wakasaidie ujenzi wa chama?
 

Nawe unakiuka matakwa ya padri mzinzi kuwa mjadala umefungwa mbona mapovu tena
 
Unachosha wasomaji bana! Una quote lipage loote wala huna cha maana anachoandika,katumwa na nani unadhani watu woote ni misukule kama wewe, bila ZZK hakuna CDM, haya nasubiri hayo matusi yenu maana mkizidiwa hoja mnaishia kutukana tu.

Nani kakutukana?eti bila Zitto hakuna Chadema!umechanganyikiwa wewe,Chadema haina mtu hata bila Dr.Slaa Chadema ipo palepale,huyo msaliti wako nenda nae huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…