Wewe dogo unatafuta makubwa!! Utaweza Segerea kijana??Andikeni barua kama ushahidi huku mkifanya quotation ya maneno dictator uchwara kuwa siasa mpaka 2020, mtumie pia maneno ya jeshi lao kuwa usalama wa nchi ni tete sasa.......alaf msikie watajibu nini, msisahau kuambatanisha barua walizokua wanawajibu nyie.....
Ikishindikana pelekeni ushahidi huo huo mahakamani kutafuta hiyo haki, kama wakileta figisu ndio ugali umwagwe sasa.
Ukiona nyani anamchokoza simba ujue kuna mti karibu. Sijui chadema watarukia wapi kwani wanajitafutia balaa kwenda dodoma eti kuzuia mkutano mkuu wa ccm. Mikutano ya kisiasa iliyokatazwa inaeleweka ila cdm wana lao. Wangetaka kuweka hali sawa wangeitisha mkutano mkuu wa cdm kumuidhinisha lowassa kama mwenyekiti wao wa chama waone kama wangezuiwa. Sio eti kwenda kuzuia mkutano mkuu wa ccm. Hapo wanatafuta kick ya kwenda icc kwa roho za watu.Bavicha mkienda Dodoma mjue tayari mtakuwa mmevunja amri ya Polisi na mtukufu ya kuzuia mikusanyiko au mikutano ya kisiasa na hatimaye mtatiwa hatiani kwa kuvunja sheria kwa kuwa sasa hali ya usalama sio nzuri Kama ilivyo tangazwa.
Tumieni Akili hata kidogo tuu, hivi mkienda huko Dodoma halafu mkavamiwa na Alsha baby au Alqaeda mkauawa mtamlaumu nani? Sisi sote tunao wajibu wa kutii sheria bila shuruti.
Chama kitakacho Fanya mikutano au maandamano kwa sasa hicho chama ni kikaidi, kiburi, na ni adui mkubwa Wa Amani yetu. Mambo ya siasa yamezuiwa kwa sasa mpaka itakapo tangazwa tena.
Msipambane na mhalifu anayetaka kuvunja sheria kwa makusudi, huwezi jua ana jivunia nini na ana siraha gani za kujihami, unaweza ukaenda wewe RAIA mwema na mapanga kumbe Adui ana siraha Kali za kivita mkaangamizwa.
Dodoma kuna Jeshi la polisi, JWTZ, Magereza, Uhamiaji na mgambo. Majeshi hayo yote yana vifaa vya kutosha kupamba na mhalifu yeyote na kuzuia mkusanyiko usio halali unao enda kinyume na sheria.
Mbona waliweza kuzuia mahafari ya Chaso na mikutano mingine mingi ya kisiasa watashindwa kuuzuia huo Wa CCM? Mbona hamna imani vijana na jeshi lenu tukufu?
Pelekeni taarifa polisi hizo za kiintelejensia kuwa kuna kikundi cha watu wahalifu kinapanga kukutana kinyume na Amri halali ya Polisi na mtukufu. Inawezekana polisi hawanasa habari ya kikundi hicho kufanya mkutano kinyume na Amri yake.
Lakini pia Kama kikundi hicho kitayazidi nguvu majeshi yetu yote na kikafanya mkutano wake kinyume na sheria au kikaachwa na kupewa ulinzi au upendeleo ili kivunje sheria basi sasa hapo BAVICHA itabidi mwende Mahakamani kukishitaki kwa kuhatarisha Amani na utulivu Wa nchi.
Mwl. Nyerere alisema "Misingi ya nchi hii imesha tikiswa, tukiendelea kuitikisa itabomoka" mwisho Wa kunukuu.
Karibuni kwa hoja zenye tija kwa taifa.
Polisi sasa hivi wanajiuliza wataondoaje lile zuio la mikutano ya siasa ili chama kisonge mbele!TEH TEH BORA USHAURI WAENDE MAHAKAMANI
Kwanza nikusifu kwa ustadi wako wa lugha,watakuelewa wachache sanaBavicha mkienda Dodoma mjue tayari mtakuwa mmevunja amri ya Polisi na mtukufu ya kuzuia mikusanyiko au mikutano ya kisiasa na hatimaye mtatiwa hatiani kwa kuvunja sheria kwa kuwa sasa hali ya usalama sio nzuri Kama ilivyo tangazwa.
Tumieni Akili hata kidogo tuu, hivi mkienda huko Dodoma halafu mkavamiwa na Alsha baby au Alqaeda mkauawa mtamlaumu nani? Sisi sote tunao wajibu wa kutii sheria bila shuruti.
Chama kitakacho Fanya mikutano au maandamano kwa sasa hicho chama ni kikaidi, kiburi, na ni adui mkubwa Wa Amani yetu. Mambo ya siasa yamezuiwa kwa sasa mpaka itakapo tangazwa tena.
Msipambane na mhalifu anayetaka kuvunja sheria kwa makusudi, huwezi jua ana jivunia nini na ana siraha gani za kujihami, unaweza ukaenda wewe RAIA mwema na mapanga kumbe Adui ana siraha Kali za kivita mkaangamizwa.
Dodoma kuna Jeshi la polisi, JWTZ, Magereza, Uhamiaji na mgambo. Majeshi hayo yote yana vifaa vya kutosha kupamba na mhalifu yeyote na kuzuia mkusanyiko usio halali unao enda kinyume na sheria.
Mbona waliweza kuzuia mahafari ya Chaso na mikutano mingine mingi ya kisiasa watashindwa kuuzuia huo Wa CCM? Mbona hamna imani vijana na jeshi lenu tukufu?
Pelekeni taarifa polisi hizo za kiintelejensia kuwa kuna kikundi cha watu wahalifu kinapanga kukutana kinyume na Amri halali ya Polisi na mtukufu. Inawezekana polisi hawanasa habari ya kikundi hicho kufanya mkutano kinyume na Amri yake.
Lakini pia Kama kikundi hicho kitayazidi nguvu majeshi yetu yote na kikafanya mkutano wake kinyume na sheria au kikaachwa na kupewa ulinzi au upendeleo ili kivunje sheria basi sasa hapo BAVICHA itabidi mwende Mahakamani kukishitaki kwa kuhatarisha Amani na utulivu Wa nchi.
Mwl. Nyerere alisema "Misingi ya nchi hii imesha tikiswa, tukiendelea kuitikisa itabomoka" mwisho Wa kunukuu.
Karibuni kwa hoja zenye tija kwa taifa.
Mkuu ulishawahi kuona mjusi anazaa panya?Ni kweli kabisa. BAVICHA andikeni barua kwa polisi mkiwajulisha nia ovu ya hiki kikundi kinachonuia kufanya kusanyiko haramu na kuvuruga amani na utengano wa nchi yetu na kukiuka amri halali ya jeshi letu tukufu pamoja na amri ya mheshimiwa sana mkuu wa nchi hii.Himahina BAVICHA wajulisheni polisi ili wainusuru nchi yetu dhidi ya vurugu hizi za wazi.
Uvccm Imani naona upo kaziniTEH TEH BORA USHAURI WAENDE MAHAKAMANI
Upo sahihi mkuu. Wawaache ccm wafanye yao ili utumike kama ushahidi kwenye kusema upinzani wanazuiliwa lakini ccm wanaachwa wafanyeBavicha mkienda Dodoma mjue tayari mtakuwa mmevunja amri ya Polisi na mtukufu ya kuzuia mikusanyiko au mikutano ya kisiasa na hatimaye mtatiwa hatiani kwa kuvunja sheria kwa kuwa sasa hali ya usalama sio nzuri Kama ilivyo tangazwa.
Tumieni Akili hata kidogo tuu, hivi mkienda huko Dodoma halafu mkavamiwa na Alsha baby au Alqaeda mkauawa mtamlaumu nani? Sisi sote tunao wajibu wa kutii sheria bila shuruti.
Chama kitakacho Fanya mikutano au maandamano kwa sasa hicho chama ni kikaidi, kiburi, na ni adui mkubwa Wa Amani yetu. Mambo ya siasa yamezuiwa kwa sasa mpaka itakapo tangazwa tena.
Msipambane na mhalifu anayetaka kuvunja sheria kwa makusudi, huwezi jua ana jivunia nini na ana siraha gani za kujihami, unaweza ukaenda wewe RAIA mwema na mapanga kumbe Adui ana siraha Kali za kivita mkaangamizwa.
Dodoma kuna Jeshi la polisi, JWTZ, Magereza, Uhamiaji na mgambo. Majeshi hayo yote yana vifaa vya kutosha kupamba na mhalifu yeyote na kuzuia mkusanyiko usio halali unao enda kinyume na sheria.
Mbona waliweza kuzuia mahafari ya Chaso na mikutano mingine mingi ya kisiasa watashindwa kuuzuia huo Wa CCM? Mbona hamna imani vijana na jeshi lenu tukufu?
Pelekeni taarifa polisi hizo za kiintelejensia kuwa kuna kikundi cha watu wahalifu kinapanga kukutana kinyume na Amri halali ya Polisi na mtukufu. Inawezekana polisi hawanasa habari ya kikundi hicho kufanya mkutano kinyume na Amri yake.
Lakini pia Kama kikundi hicho kitayazidi nguvu majeshi yetu yote na kikafanya mkutano wake kinyume na sheria au kikaachwa na kupewa ulinzi au upendeleo ili kivunje sheria basi sasa hapo BAVICHA itabidi mwende Mahakamani kukishitaki kwa kuhatarisha Amani na utulivu Wa nchi.
Mwl. Nyerere alisema "Misingi ya nchi hii imesha tikiswa, tukiendelea kuitikisa itabomoka" mwisho Wa kunukuu.
Karibuni kwa hoja zenye tija kwa taifa.
Labda mahakama ya the hague ndio inaweza kusimamisha mikutano ya ccmAndikeni barua kama ushahidi huku mkifanya quotation ya maneno dictator uchwara kuwa siasa mpaka 2020, mtumie pia maneno ya jeshi lao kuwa usalama wa nchi ni tete sasa.......alaf msikie watajibu nini, msisahau kuambatanisha barua walizokua wanawajibu nyie.....