MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Bado nasisitiza kua BAVICHA hali haiko sawa, haiwezekani kuna kauli mbali mbali ambazo zinatoka upande wa pili na kiubinadamu sio kauli mzuri lakini vijana mnasikia mmekaa kimya pasipo kutoa angalizo au tamko la kupinga kauli hizo.
Mfano kauli iliyotoka juzi kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Kagera kua kila mwananchi abebe msalaba wake,nilitegemea mngekua wa kwanza kupinga kauli hii lakini vijana Wangu mko kimya! Au mmeunga mkono kauli hiyo ya mheshimiwa? Mnataka mpaka mpigiwe simu na waandishi wa habari ili mtoe maoni yenu juu ya kauli hiyo?napata wasiwasi sana kutoka kwenu vijana ninyi.
Kama nanyi mnaumgana mkono na Mh Lwakatare mseme tujue, BAVICHA ya Katambi imepwaya kabisa sio sawa na ile ya Heche na Munisi ambayo ilikua active na mwiba mkali kwa UVCCM.Kwakweli kuelekea 2020 naona kuna dalili ambazo si mzuri kabisa.Mnanyamazishwa na nani?