BAVICHA Kuzungumza na Vyombo Vya Habari

BAVICHA Kuzungumza na Vyombo Vya Habari

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kesho siku ya Jumanne kuanzia saa6 Mchana ,katika Makao Makuu ya chama,

M/kiti wa BAVICHA Taifa atazungumza na waandishi wa Habari, juu ya Hatma ya Vijana na Serikali ya Magufuli na mambo mengine ya Kitaifa na Kimataifa.

Tunaomba ushirikiano wako katika kulifanikisha hilo.

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa.
 
asante mkuu , unajua mara zote BAVICHA ikiongea kunakuwa na mtikisiko mkubwa sana nchini , ngoja tusubiri kishindo .
 
Naona wanatfuta single ya kutokea nao.. Hawaandikwi kwenye magazeti kila siku magufuli tu.
 
Naona wanatfuta single ya kutokea nao.. Hawaandikwi kwenye magazeti kila siku magufuli tu.
Hamna kitu hawa, JPM keshawajua jinsi ya kucheza nao! Atasema posho zake jioni baada ya bavicha kuongea kisha bavicha watasahau walichodiskas na kuanzisha hoja wanataka kujua suti yake jpm ni kiasi gani!
 
Hili barazala vvichaaa(bavicha)...... au baraza la wwachawi(bawacha )....Vipi mdee kapona?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kesho siku ya Jumanne kuanzia saa6 Mchana ,katika Makao Makuu ya chama,

M/kiti wa BAVICHA Taifa atazungumza na waandishi wa Habari, juu ya Hatma ya Vijana na Serikali ya Magufuli na mambo mengine ya Kitaifa na Kimataifa.

Tunaomba ushirikiano wako katika kulifanikisha hilo.

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa.
 
Khaaa! kumbe Simbeye siku hizi anawatumikia hawa MaNyumbu!
 
Hawana lolote la kujenga watazungumzia matukio yaliyotokea wiki mbili hizi. Kuwasikiliza ni bora usikilize redio mazungumzo baada ya habari.
Watanzania wamechoka na siasa za drama wanachotaka ni maendeleo tu chini ya kichwa Pombe Magu.
 
asante mkuu , unajua mara zote BAVICHA ikiongea kunakuwa na mtikisiko mkubwa sana nchini , ngoja tusubiri kishindo .
Lazima kuwe na mtikisiko mkubwa nyumbu wote wanalazimisha kuvuka kwa pamoja kwenye mto huku mamba wamejaa unadhani kitatokea nini zaidi ya mtikisiko.

Cc; haa mym
 
Back
Top Bottom