HabariChademamara
Senior Member
- Apr 6, 2015
- 113
- 91
Tokomeza CCM Musoma mjini inaendelea kesho ambapo team ya Bavicha Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu Mwita pamoja na John Heche aliyekuwa Mwenyekiti BAVICHA aliyemaliza muda wake ambaye kwa sasa ni mtangaza nia ya ubunge jimbo la Tarime. Kesho kuanzia saa 7 mchana katika viwanja vya Nyasho Stendi jimbo LA Musoma mjini watafanya mkutano mkubwa Sana pia kufungua ofisi ya CHADEMA kata ya Nyasho.