Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Baraza la Vijana CHADEMA likiongozwa na mwenyekiti wa Taifa Patrobas Katambi , Makamu mwenyekiti wa Baraza hilo Patrick Ole Sosopi, na Uongozi wa BAVICHA Mkoa wa Iringa kesho kutwa jumapili tarehe 28/02/2015 watapiga kambi jimbo la Isimani na kuwafariji wahanga wa mafuriko na kipindupindu.
Ziara hiyo ni ya Kwanza na ya aina yake kwa Viongozi wa ngazi za juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya Ziara ya Warizi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kasimu Majaliwa kufanya hivyo mwanzoni mwa wiki hii.
Hata hivyo Pamoja na mambo mwengine, Patrick Ole Sosopi aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo hilo la Isimani kupitia CHADEMA atatumia fursa hiyo kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura za kutosha dhidi ya Mbunge wa sasa Ngd. William Lukuvi wa CCM.
Imetoweka na :
Leonce Marto
Mkt BAVICHA Iringa Mjini
26 /02 /2016.